Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Nilikuwa siamini kwanini wayahudi walimuua yesu.kumbe ni kutukomboa sisi.TL tukomboe baba.
'Pressure points' zinaongezeka.

Huku ndani nako ni wakati wa kuanza kushindilia sasa polepole, huku joto likiongezeka kadri Oktoba inavyosogea.

Tundu Lissu aliyeko nje kwa sasa hivi ni wa manufaa zaidi ya Tundu Lissu ambaye angekuwa nyumbani kwa wakati huu.

Haya yalionekana tokea zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1580881399983.png
 
Lissu anatafuta sababu ya kurudi Tz, alisema harudi Tz hadi ahakikishiwe usalama wake, je saivi IPU ndio imemuhakikishia usalama wake? IPI ina mamlaka gani Tz ? Hakuna mtu anayeweza mrudishie ubunge tena, aje apambane upya Oct 2020 tu .
MI nimeamini kuna ujinga mwingine ni wa kulogwa,bunge la Tanzania ni mwanachama wa IPU na IPU ni shirikisho linalotambuliwa na UN.

Ngoja nikufafanulie kwa mfano wa kariba yako, Ni sawa na mwajili wako asipo kutendea haki ukamshitaki CMA, Kisha akakataa wito au akakubali wito mkasikilizwa halafu akakataa maamuzi. Nini kinatokea? Kama hujaelewa mpaka hapo we Basi.
 
Magufuli hakukosea aliposema wapinzani wamebadilika kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom