Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi naona kama unajisema wewe mwenyewe eti!! Maana haya mashudu yote uliyiyaweka gapa, ni kama vile yanakuhusu wewe mwenyewe.

Imagine wewe ni binadamu, lakini wengi wanakutambua humu jukwaani kama CHAWA!! Do you think it is ok?

By the way, mambo yote aliyoyaongea yana ukweli kwa 100%. Na kama umeumia sana, kunywa sumu ufe. Maana hata faida yenyewe sidhani kama unayo hapa duniani.
 
Kwa yaliyosemwa hapo juu Ni lipi la uongo?
 
Rubbish: bora aseme mbowe, huyu aishindwa 87%/13% no contest. Dr Slaa alipata 24% kaja Lowasa ikafika 48% yaani wabunge 103. Matusi na ubabebabe kawatawanya kabaki 1. Anasa? What's nasa, nena Kenya uone anasa maraisi 26 mmoja kila County yaani kila Kabila, na Supika, na IGP, na wabunge: hiyo ndiyo anasa. Bei pekee iliyopanda ni ngano na mafuta shauri ya Ukraine - yaliyobaki yamepanda bei ni good news kwa Wakulima na Wafugaji wetu - mahindi Makambako, maharage Kyela, ndizimtori Uchagani na ng'ombe wa nyama wa Usukumani. Hajaeleza pia alikuwa wapo khasa.
 
Kwani tangu lini Lisu alitambua Kama nchi ina wanyonge,tangu lini Lisu hakuwahi kulalamika kwamba magufuri kabana hela
 
Brother hivi unamarinda wewe ??
 
Lissu katakana, na huyu mshabiki wa, Samia kamtukana Lissu. Itakuwa akili ndogo sana na iliyonyauka kusema kuwa, huyu aliyemtukana Lissu hana akili. Je, Lissu sasa, ana akili au ana mvi tupu kichwani.
Mkikosa hoja za kujibu ndio mnashoboka utumbo kama huu!! Shame on you!! Una matatizo makubwa sana kichwani
 
Magufuli alilinda raslimali kwa bunduki mkawatetea Barick, Mama anajaribu kufuata Sheria mnalaumu!

Mnataka nini enyi kenge!?

..Magufuli hakulinda rasilimali.

..Alichokuwa anafanya ni ulaghai tu kuwarubuni msiokuwa na uelewa.

..Mlinzi mkubwa wa maslahi ya Barrick alikuwa ni Magufuli ambaye aliwasamehe kwa wizi wao wa usd 191 billion.

..Na CEO wa Barrick Tanzania Bw.Deo Mwanyika alipewa ubunge na Magufuli.
 
Pressure za Lissu anazotiwa na Mbowe hana pakuzitolea.

Mke hana, anaona njia ya mkato ni Mama Samia, akae chonjo tu.
 
Lissu katakana, na huyu mshabiki wa, Samia kamtukana Lissu. Itakuwa akili ndogo sana na iliyonyauka kusema kuwa, huyu aliyemtukana Lissu hana akili. Je, Lissu sasa, ana akili au ana mvi tupu kichwani.

..Lissu hana tabia ya kutukana.

..ukimsikiliza bila ushabiki utagundua ana tabia ya kuwaambia watawala ukweli bila kujali nafasi zao.

..Na watawala wa nchi hii hawapendi kuambiwa ukweli. Wanasingizia kuwa wametukanwa.
 
Baba yako, mama yako na familia yako mpaka kizazi chenu cha 20 plus Samia na Tulia hawawezi kufikia hata robo ya akili ya Lissu, muulize Makonda kwanini alitaka kumuua Lissu.
 
Kaandamane na familia yako maana watanzania hawana huo ujinga wa kuandamana kwa ajili ya ujinga wa kutaka uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo
Mtanzania huyo ambaye ujinga wa kuandamana labda mama yako maku wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…