- Thread starter
- #101
Kwani yeye kasemaje?Pumbavu arudi sasa awahi maandamano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye kasemaje?Pumbavu arudi sasa awahi maandamano.
Unaanzaje kuwaheshimu wanaokusababishia magumu?!Chawa naona umeumia vibaya maana Hawa viongozi majizi ya kura unayaona miungu. Huwezi kuwa na heshima kwa viongozi wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani.
Mimi naona kama unajisema wewe mwenyewe eti!! Maana haya mashudu yote uliyiyaweka gapa, ni kama vile yanakuhusu wewe mwenyewe.Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Hadi kufikia 24/01/2024 tutakuwa tumeshawajua watoa taarifa na wapinzani wa kweliHuyu mtoa taarifa kusema kweli anachangamsha sana siasa zetu.
Kwani kinachoongoza vita ni miguu?!Yaani anayejiita Rais mtarajiwa anachechemea? Hapana, ikitokea vita ataongozaje jeshi?
Kwa yaliyosemwa hapo juu Ni lipi la uongo?Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Rubbish: bora aseme mbowe, huyu aishindwa 87%/13% no contest. Dr Slaa alipata 24% kaja Lowasa ikafika 48% yaani wabunge 103. Matusi na ubabebabe kawatawanya kabaki 1. Anasa? What's nasa, nena Kenya uone anasa maraisi 26 mmoja kila County yaani kila Kabila, na Supika, na IGP, na wabunge: hiyo ndiyo anasa. Bei pekee iliyopanda ni ngano na mafuta shauri ya Ukraine - yaliyobaki yamepanda bei ni good news kwa Wakulima na Wafugaji wetu - mahindi Makambako, maharage Kyela, ndizimtori Uchagani na ng'ombe wa nyama wa Usukumani. Hajaeleza pia alikuwa wapo khasa.Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Akitoa mfano wa huyu wa sasa:
1. Kauza bandari kwa DPW
2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.
3. Mfumko wa bei usio na mantiki
4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.
5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri
6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa
7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali
8. Kukosa mvuto kwa raia!
Huna lolote.Nataka mjadala na huyu mpumbavu Tundu Lisu.
Mpuuzi wewe.
Siasa mchezo mchafu
Brother hivi unamarinda wewe ??Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Mkikosa hoja za kujibu ndio mnashoboka utumbo kama huu!! Shame on you!! Una matatizo makubwa sana kichwani
Magufuli alilinda raslimali kwa bunduki mkawatetea Barick, Mama anajaribu kufuata Sheria mnalaumu!
Mnataka nini enyi kenge!?
Lissu katakana, na huyu mshabiki wa, Samia kamtukana Lissu. Itakuwa akili ndogo sana na iliyonyauka kusema kuwa, huyu aliyemtukana Lissu hana akili. Je, Lissu sasa, ana akili au ana mvi tupu kichwani.
Pressure za Lissu anazotiwa na Mbowe hana pakuzitolea.
Mke hana, anaona njia ya mkato ni Mama Samia, akae chonjo tu.
Baba yako, mama yako na familia yako mpaka kizazi chenu cha 20 plus Samia na Tulia hawawezi kufikia hata robo ya akili ya Lissu, muulize Makonda kwanini alitaka kumuua Lissu.Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Mtanzania huyo ambaye ujinga wa kuandamana labda mama yako maku wewe.Kaandamane na familia yako maana watanzania hawana huo ujinga wa kuandamana kwa ajili ya ujinga wa kutaka uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo