Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu, hoja yako hasa ni nini??. Hebu jikite kwenye yale aliyoyasema Lissu...naona unaielezea haiba yake, sote tunaijua!.
 
Tulia wewe msambwanda
 
Sometimes nachukia nchi Yangu na watu wake wote kwa ninayoyaona ila nikisikia maneno kama haya kutoka kwa watu kama lissu huwa najipa moyo kuwa the day is coming no matter how long will take us
Umenisemea kabisa mkuu.... kuna wakati mpaka unahisi kukata tamaa kwenye struggle za maisha sababu ya mifumo na uongozi mbovu tulionao ambao huoni future ya nchi na kubaki kusikitikia generation ya watoto wetu jinsi itakavyokuwa ngumu...... Maandamano nadhani ndio hatua sahihi ya kurekebisha uozo huu.
 
Kwetu Sisi tushapigwa kazi ni kuwapambania wanetu kama watakita chochote kilichobaki
 
Tundu Lissu sio Tindu, header.
 
Your bomboclaat batman
 
Huyu ndo huwa anaongea mambo ya maana sio yule kengeza kila siku kulia maridhiano yasiyokuwa na maana utadhani tulikuwa kwemye vita
 
Naunga mkono hoja.
Sometimes lazima ukubali kuanza upya ili utengeneze kitu kizuri.
Kwa maneno mengine kama ulikosea msingi, ni vyema ukabomoa nyumba ili ujenge nyumba yenye msingi imara upya. Ukikomaa na hiyo yenye msingi mbovu, tetemeko au mafuriko yakija, yatakuletea madhara makubwa sana wewe na familia yako!
Ni kweli kila Mtanzania anataka amani. Lakini viongozi wetu wanaitumia hiyo Shauku kujinufaisha wao na familia zao tu huku walio wengi wakiishi maisha ya bora jana!!
We need equal distribution of National Cake to all, over.
 

Wengne tlitegmea ungejibu hoja badala ya kuelezea unavomfaham au kufaham yalomtokea maishani mwake. Kna watu wanaamini mambo tofauti na hayo kumhusu TAL. Lugha zngine humu znamfanya mwandishi kuonyesha upeo na haiba yake mwenyewe. Uungwana ni vitendo pia ...au?
 
Siku hizi unatukana kiasi hiki? Acha tafadhali unajishushia heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…