Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Tangu rais wa nchi hii atangulie mafisiemu yanajitaidi kuuza rasilimali za nchi kama vile wanadaiwa vikoba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hoja yako hasa ni nini??. Hebu jikite kwenye yale aliyoyasema Lissu...naona unaielezea haiba yake, sote tunaijua!.Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Tulia wewe msambwandaLi Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Wewe na mamayenu mnaakili Gabi.Jinga mkubwa wewe huna akili kabisa.laaana wewe katika ardhi yetu .
Umenisemea kabisa mkuu.... kuna wakati mpaka unahisi kukata tamaa kwenye struggle za maisha sababu ya mifumo na uongozi mbovu tulionao ambao huoni future ya nchi na kubaki kusikitikia generation ya watoto wetu jinsi itakavyokuwa ngumu...... Maandamano nadhani ndio hatua sahihi ya kurekebisha uozo huu.Sometimes nachukia nchi Yangu na watu wake wote kwa ninayoyaona ila nikisikia maneno kama haya kutoka kwa watu kama lissu huwa najipa moyo kuwa the day is coming no matter how long will take us
Kwetu Sisi tushapigwa kazi ni kuwapambania wanetu kama watakita chochote kilichobakiUmenisemea kabisa mkuu.... kuna wakati mpaka unahisi kukata tamaa kwenye struggle za maisha sababu ya mifumo na uongozi mbovu tulionao ambao huoni future ya nchi na kubaki kusikitikia generation ya watoto wetu jinsi itakavyokuwa ngumu...... Maandamano nadhani ndio hatua sahihi ya kurekebisha uozo huu.
Achana na maandamano, hayawezi kutusaidia, tuorodheshe majizi yote, then tuyaue yote, nawahakikisheni inchi itanyooka hii.Maandamano lazima
Jizi kuu huwezi lifikia linalindwa balaaAchana na maandamano, hayawezi kutusaidia, tuorodheshe majizi yote, then tuyaue yote, nawahakikisheni inchi itanyooka hii.
Tundu Lissu sio Tindu, header.Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Akitoa mfano wa huyu wa sasa:
1. Kauza bandari kwa DPW
2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.
3. Mfumko wa bei usio na mantiki
4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.
5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri
6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa
7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali
8. Kukosa mvuto kwa raia!
Anatafuta teuzi apewe U DCWewe nahisi umezaliwa kupitia mkunduni. Watu tunateseka gharama za maisha we unasifia ujinga wahed
Your bomboclaat batmanLi Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Huyu ndo huwa anaongea mambo ya maana sio yule kengeza kila siku kulia maridhiano yasiyokuwa na maana utadhani tulikuwa kwemye vitaLeo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Akitoa mfano wa huyu wa sasa:
1. Kauza bandari kwa DPW
2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.
3. Mfumko wa bei usio na mantiki
4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.
5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri
6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa
7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali
8. Kukosa mvuto kwa raia!
Naunga mkono hoja.Umenisemea kabisa mkuu.... kuna wakati mpaka unahisi kukata tamaa kwenye struggle za maisha sababu ya mifumo na uongozi mbovu tulionao ambao huoni future ya nchi na kubaki kusikitikia generation ya watoto wetu jinsi itakavyokuwa ngumu...... Maandamano nadhani ndio hatua sahihi ya kurekebisha uozo huu.
Yeye yuko kwenye mfumo Mkuu.Wewe nahisi umezaliwa kupitia mkunduni. Watu tunateseka gharama za maisha we unasifia ujinga wahed
@modsTundu Lissu sio Tindu, header.
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi
Wengne tlitegmea ungejibu hoja badala ya kuelezea unavomfaham au kufaham yalomtokea maishani mwake. Kna watu wanaamini mambo tofauti na hayo kumhusu TAL. Lugha zngine humu znamfanya mwandishi kuonyesha upeo na haiba yake mwenyewe. Uungwana ni vitendo pia ...au?Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Siku hizi unatukana kiasi hiki? Acha tafadhali unajishushia heshimaAcha kuchafua watu wewe.kama una ushahidi nenda mahakamani.ninyi manyumbu na mafisi wa CHADEMA ni watu wa hovyo sana na ambao hampaswi kusikilizwa kwa chochote kile. Ninyi si ndio mlimtukanaga Lowassa kwa miaka nane kuwa ni fisadi na mwizi? Je 2015 hamkumkaribisha ? Hamkupatia ugombea urais? Kama siyo manyumbu na mahayawani mnataka tuwaite akina nani nyie?