Tundu Lissu kila nikijilazimisha nimuone wa maana, moyo unagoma tu, simpendi na sipendi awe kiongozi kokote kule!

Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Hamna uwezo wa kumaliza.Nyinyi mnataka uongozi uwe unawekwa na genge dog.o mwananchi awe mtazamaji.Ndio mnapopishana na Tundu.Mzungu anatakiws asaidie kuwa bana nyinyi wakoloni u chwara
 
Mungu wa mbinguni akubariki uishi siku nyingi ili uyaone mengi.
 
Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Ni jambo gani mliweza bila mkono wa mzungu??Hata wale COVID 19 pale BUNGENI siyo mapenzi yenu bali ni kuogopa kunyimwa misaada na Wazungu.
 
Nilikuwa nafatilia kwa umakini zaidi Comment za watu hum baada ya post yako.

Kuna idadi kubwa ya watu wanaokupinga na kukushambulia kwa Lugha chafu,

Ila cha ajabu kati yao wote sijaona hata mmoja aliejibu kwa hoja juu ya swala la udhaifu wa Lisu kujiegemeza kwa wazungu.
(Hali ya kua wote tunafaham ni namna gani wanavyotukandamiza chini Carpet)

Hongera kwa kudadavua na kuutoa ukweli, nakuunga mkono juu ya hili kaka.
[emoji1666]
Kisamv


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu, na sikatai uwepo wake, unataka niende wapi mkuu? Burundi kufanya nini tena?
Kipenzi chako Mwigulu ndiye aliyekutaka uhamie Burundi nawe haukumkatalia, eti leo ndiyo unajidai kuhoji!
 
Nimeona mstari wa mwisho umeandika upo Zanzibar...
Sikulaumu najua umeanza tabia za yule afwande wa huko, ndiyo maana unamchukia Lissu bila sababu
 
Wach
Wachato wotea.k.a wana umoja party hamwezi mkamwelewa wala kumkubali,Bakini hivyo ila ipo siku mtamwelewa tu🤔
 
Baada ya Uchaguzi wa 2020 Serikali yako ya Chama cha Mapinduzi ilifanya nini ili isinyimwe misaada na Wazungu?Mnajifanya hamjui wala hamwelewi ili tu familia zenu zizidi kunenepa.
 
Mimi nilishaandika madhaifu kadhaa ya Tundu Lissu humu na amekuwa hana tena ushawishi pia mbowe amekosa credits kuwa kiongozi wa upinzani, nadhani nadhani sana chadema yapasa kubadilisha viongozi wa juu,

Tumekosa upinzani wenye nguvu tanzania lazima tuseme ukweli, watu madhubuti kwenye upinzani wamefikia bei, wametaparaganyika, wengi wazuri wamenunuliwa wengine walioko kwenye hivyo vyama wako tu kimtazamo lakini hawako kwa moyo sasa ni shida kumjua nani ni mtu sahihi nani ni msaliti wote kama vile wanaviziana
 
Upinzani wa kweli uko Chato Ntarahamwe wewe.
 
Baada ya Uchaguzi wa 2020 Serikali yako ya Chama cha Mapinduzi ilifanya nini ili isinyimwe misaada na Wazungu?Mnajifanya hamjui wala hamwelewi ili tu familia zenu zizidi kunenepa.
Ushanipa chama tayari mara hii?
(Any way)

Hivi ulifatilia lakini na kuona ni kwa kiasi gani wazungu walikua wanaichukia serikali ya kipindi kile?

Na kama jibu ni ndio, vipi ulijua sababu ni nn haswa?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni afadhali Slaa aingie Ikulu kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge "..alisikika mgombea wa kijani"
 
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Ulipaswa ufanye utafiti wa kina na ujirishe pasina Shaka yoyote juu ya tuhuma hizi Mana Ni nzito Sana badaala ya kuja mbele ya umma na neno NADHANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…