Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Hata mm Lissu silipendi naona jitu la kuropokaropoka tuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna uwezo wa kumaliza.Nyinyi mnataka uongozi uwe unawekwa na genge dog.o mwananchi awe mtazamaji.Ndio mnapopishana na Tundu.Mzungu anatakiws asaidie kuwa bana nyinyi wakoloni u chwaraSijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Mungu wa mbinguni akubariki uishi siku nyingi ili uyaone mengi.Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Hatari snMaliza urojo leo wapemba wanakusubiri uwatumikie usiku.
Ndg yenu aliamua kumuua kabisa lkn kibao kikageuzwa sembuse wewe mls urojo
Ni jambo gani mliweza bila mkono wa mzungu??Hata wale COVID 19 pale BUNGENI siyo mapenzi yenu bali ni kuogopa kunyimwa misaada na Wazungu.Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Ukweli ndiyo huo.Mtajiondoa wenyewe tu baada ya kugundua kuwa siasa za chuki na kuhasimiana hazipewi nafasi tena katika Taifa letu,au vinginevyo mkubali kuishi kistaarabu
Kipenzi chako Mwigulu ndiye aliyekutaka uhamie Burundi nawe haukumkatalia, eti leo ndiyo unajidai kuhoji!Kweli kabisa mkuu, na sikatai uwepo wake, unataka niende wapi mkuu? Burundi kufanya nini tena?
Wachato wotea.k.a wana umoja party hamwezi mkamwelewa wala kumkubali,Bakini hivyo ila ipo siku mtamwelewa tu🤔Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibarwa
Baada ya Uchaguzi wa 2020 Serikali yako ya Chama cha Mapinduzi ilifanya nini ili isinyimwe misaada na Wazungu?Mnajifanya hamjui wala hamwelewi ili tu familia zenu zizidi kunenepa.Nilikuwa nafatilia kwa umakini zaidi Comment za watu hum baada ya post yako.
Kuna idadi kubwa ya watu wanaokupinga na kukushambulia kwa Lugha chafu,
Ila cha ajabu kati yao wote sijaona hata mmoja aliejibu kwa hoja juu ya swala la udhaifu wa Lisu kujiegemeza kwa wazungu.
(Hali ya kua wote tunafaham ni namna gani wanavyotukandamiza chini Carpet)
Hongera kwa kudadavua na kuutoa ukweli, nakuunga mkono juu ya hili kaka.
[emoji1666]
Kisamv
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mimi nilishaandika madhaifu kadhaa ya Tundu Lissu humu na amekuwa hana tena ushawishi pia mbowe amekosa credits kuwa kiongozi wa upinzani, nadhani nadhani sana chadema yapasa kubadilisha viongozi wa juu,Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Upinzani wa kweli uko Chato Ntarahamwe wewe.Mimi nilishaandika madhaifu kadhaa ya Tundu Lissu humu na amekuwa hana tena ushawishi pia mbowe amekosa credits kuwa kiongozi wa upinzani, nadhani nadhani sana chadema yapasa kubadilisha viongozi wa juu,
Tumekosa upinzani wenye nguvu tanzania lazima tuseme ukweli, watu madhubuti kwenye upinzani wamefikia bei, wametaparaganyika, wengi wazuri wamenunuliwa wengine walioko kwenye hivyo vyama wako tu kimtazamo lakini hawako kwa moyo sasa ni shida kumjua nani ni mtu sahihi nani ni msaliti wote kama vile wanaviziana
Ameen, iwe kwako pia mkuuMungu wa mbinguni akubariki uishi siku nyingi ili uyaone mengi.
Ushanipa chama tayari mara hii?Baada ya Uchaguzi wa 2020 Serikali yako ya Chama cha Mapinduzi ilifanya nini ili isinyimwe misaada na Wazungu?Mnajifanya hamjui wala hamwelewi ili tu familia zenu zizidi kunenepa.
Ni afadhali Slaa aingie Ikulu kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge "..alisikika mgombea wa kijani"Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Ulipaswa ufanye utafiti wa kina na ujirishe pasina Shaka yoyote juu ya tuhuma hizi Mana Ni nzito Sana badaala ya kuja mbele ya umma na neno NADHANI.Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu