Tundu Lissu kila nikijilazimisha nimuone wa maana, moyo unagoma tu, simpendi na sipendi awe kiongozi kokote kule!

Mjomba wa Rais Samia Yuko Oman na amechukua Uraia wa Huko Hilo halikuumizi!

Umesikia orodha ya viongozi watokanao na chama tawala kuwa wamenakimbiza wake zao wakazalie ulaya na America? Umesikia kwamba JK ana nyumba USA na anaendaga huko Kama anaenda home?
Kuna dhambi au kosa gani kisheria mtu kuwa na uraiaa wa USA! Ulifuatlia bongo zozo alivyowazodoa kuhusu Uraia pacha? Utakufa na chuki.


Kama una ushahidi wowote TAL akijaribu kutetea Mila za kishoga waziwazi au kwa Siri ili sote tuone Mana nimesikia kwenye media akiweka bayana kwamba haungi mkono ushoga na kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu haungi mkono ushoga.

Lakini kwa kimya chake amepinga kuwaua mashoga au wanaodhaniwa kuwa mashoga au kutuhumiwa unless tubadilishe sheria zetu.

Lakini serikali ya Awamu ya Tano ilitamka asilani ikiliambia Bunge kwamba italinda na kusimamia haki za watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na Msimamo wa bashite sio msimamo wa Serikali!

Hivi juzi uliona kilichojiri Bungeni kwenye mjadala unaohusu suala Hilo na waabunge kutuhumiana waazi wazi . je TAL alikua miongoni mwao?
 
Huyo anafaa kuwa mpiga makelele tu lakini sio kuongoza watu.
Anapenda misifa ya kijinga sana.
 
Nitajie mradi ambao Magufuli alisema tunajenga kwa fedha zetu lakini unajengwa na ufadhili wa wengine
 
Umenikumbusha mbali sana. Wakati huo Magu anavaa kama Museven
 
Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Hujui siasa wala the subtle art of global governance
 
Jina lako kisamvu
 
Jina lako kisamvu
Ukiishia tu kuandika neno unalodhani ni jina langu, inakuongezea nini akilini mwako kijana, ongeza viwango vya ufahamu wako na useme kile kunaweza badili mawazo ya wengine kupitia wewe waone Lissu ni bora sio hiki unachojaribu kuandika mkuu
 
Kwenye para ya kwanza tu umejitoa ufahamu kumbe wewe kilaza!!
 
Nitajie mradi ambao Magufuli alisema tunajenga kwa fedha zetu lakini unajengwa na ufadhili wa wengine
Bwawa la Nyerere,relief ya kisasa,daraja la mfugale,daraja la kijazi,barabara tunduma sumbawanga,niendelew au...
 
Tundu Lissu ni mtu na nusu... Huwezi mlinganisha na hao mbwa zako
 
shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Hivi unaweza kulithibitishaje hili kwa mfano?

Una shida zako wewe na pengine naweza kusema bila shaka yoyote kuwa humjui Tundu Lissu na hujui ujualo na Kisha kulisema..!!
 
Hivi unaweza kulithibitishaje hili kwa mfano?

Una shida zako wewe na pengine naweza kusema bila shaka yoyote kuwa humjui Tundu Lissu na hujui ujualo na Kisha kulisema..!!
Wewe mwenyewe nakuhakikishia hamjui Tundu Lissu
 
Lisuu anaanzaga kuongea HV ,sasaaa ,,,sasaaa,,sasaaaa magufuli Ni fifisadiii mkubwaa ameliingizaa taifa hasaraaa kubwa na Bado watu wanamchekeaa Ni mwizi hafai na Sasa sasa Sasa aeleze was kina Nani wamenipiga risasa mm
 
Wewe mwenyewe nakuhakikishia hamjui Tundu Lissu
Mimi si kama wewe unavyom - describe TL kipropaganda badala ya facts zilizojengwa katika msingi wa research ukiffikiri kuwa utaharibu reputation yake..

Siyo. Umekosea ndugu kisamvu..!!

Mimi Nimekua naye, nimesoma naye high school (Galonos High School - Tanga)..

He's a man of integrity; aggressive, bold and confident who fears nothing but truth..

He is truly a revolutionary man..!l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…