DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Mjomba wa Rais Samia Yuko Oman na amechukua Uraia wa Huko Hilo halikuumizi!Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Umesikia orodha ya viongozi watokanao na chama tawala kuwa wamenakimbiza wake zao wakazalie ulaya na America? Umesikia kwamba JK ana nyumba USA na anaendaga huko Kama anaenda home?
Kuna dhambi au kosa gani kisheria mtu kuwa na uraiaa wa USA! Ulifuatlia bongo zozo alivyowazodoa kuhusu Uraia pacha? Utakufa na chuki.
Kama una ushahidi wowote TAL akijaribu kutetea Mila za kishoga waziwazi au kwa Siri ili sote tuone Mana nimesikia kwenye media akiweka bayana kwamba haungi mkono ushoga na kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu haungi mkono ushoga.
Lakini kwa kimya chake amepinga kuwaua mashoga au wanaodhaniwa kuwa mashoga au kutuhumiwa unless tubadilishe sheria zetu.
Lakini serikali ya Awamu ya Tano ilitamka asilani ikiliambia Bunge kwamba italinda na kusimamia haki za watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na Msimamo wa bashite sio msimamo wa Serikali!
Hivi juzi uliona kilichojiri Bungeni kwenye mjadala unaohusu suala Hilo na waabunge kutuhumiana waazi wazi . je TAL alikua miongoni mwao?