Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Atashinda lakini hatopewa kiti, inyeshe au isinyeshe hapewi
 
Maneno haya yanachoma moyo. Ni mitume wa Yesu na baadhi ya binadamu wachache walioyapitia ya Lisu
 
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu. Kwa kifupi tuna Rais wa ajabu mno, haijapata kutokea.
hayo ni maneno tu kamka manenomengine ya hovyo rais anahusikaje na upuuzi anao ufanya mbowe kwa watu wanaotaka kuwa wenyekiti wa chadema wangwe yupo wapi mbowe ana roho mbaya haijawahi kutokea atika historia ya tanzania
 
Kisasi ni Mungu mwenyewe wote tuseme 🙏
 
Ndugai ajitokeze na amseme huyo aliyeamuru kwamba mkishamuua ndani ya masaa matatu awe amezikwa kijijini kwao alikuwa ni nani?

Hapo ndipo pa kuanzia, kumbe ni upelelezi rahisi sana na Mroto aeleze kwa nini walinzi wa siku hiyo waliondolewa lindoni..

Hakuna haja ya dereva wala nani na pia Waitara na Mollel weleze hoja yao kuwa ni Chadema ndio walifanya njama hizo. Nje ya hapo mtuhumiwa mkuu bado anabaki ni serikali tu. That's all.
 
Na Mungu ambariki
 
Maneno haya yanatakiwa kusemwa nchi nzima na kuandikiwa documentary zitakazokuwa zinaoneshwa kwenye ofisi zote za chadema.Akiweza kueleza namna familia zingine zilivyopoteza wapendwa same way yeye alivyonusurika,atakuwa amevuta hisia za familia nyingi zilizoathiriwa na hivyo kuamsha hamu ya watu wengi wanaotaka serikali inayojari watu na utu .Yaani magu hadi akae
 
Mimi huwa naamini ivin

Ya duniani yanaishia hapa hapa, na tunamalizana hapahapa.



T.Lissu, walojaribu kukuua, siku ukishinda WASHIKISHE ADABU.
 
For vengeance is mine and i shall repay says the Lord

Poleh sana kwa Lissu..bila shaka hamna anaejua maumivu uliyopitia

Waliotaka kumuua wataungama wenyewe hadharani kwa style hii ya kumuachia Mungu
 
Sawa, kisasi chake kitalipwa na Mungu, ila Lissu akishika dola nashauri asimamie show, wauaji wapelekwe mahakamani, wanyongwe harakaharaka wawahi hicho kisasi chao kwa Mungu
 
Baraka na heri ziwe juu yake,Amina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…