Nomino EditWamarekani wanaita "fella" means non-standard spelling of fellow, used in representing speech in various dialects.
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.Hatutoi kura za huruma hapa!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Basi sawa, lakini kura za huruma NO!Nomino Edit
fala (wingi mafala)
mtu mjinga
Tafsiri Edit
Kiingereza: fool (en)
Luhya: omsilu (luy
Unamaanisha John Pumba Maharage au nani? Funguka basi!!!!JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.Yaliyomkuta yanaumiza lakini asifikirie kwamba atakuwa rais kisa alipitia hayo.
Urais asahau
Rais wako ni katili mno Mkuu, utawala wake wa kidikteta unaelekea mwisho sasa.Unamaanisha John Pumba Maharage au nani? Funguka basi!!!!
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.Lisu Ana SONONA mpaka baada ya uchaguzi atakuwa na Hali mbaya Sana kiakiliView attachment 1532907
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.dereva na mbowe ndiyo wanajuwa walichokifanya ndiyo maana wamemficha dereva na ipo siku watamtoa tu na upelelezi utaanza
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu. Kwa kifupi tuna Rais wa ajabu mno, haijapata kutokea.MANENO YA KUKATA TAMAA HAYO HUYU CHIZI AMWACHIE MUNGU? ANAHAMU YA KUNYONGA WATU HUYU
Kwanini usiweke wazi kabisa sasa hivi?JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
Muulizeni Tundu Lissu anamwongelea Mungu yupi! Yeye anawacheka sana watu wanaokwenda kuabudu misikitini na makanisani anawaita wamechanganyikiwa. Sasa leo anawakumbuka. Kwani mara ya mwisho huyu jamaa kuingia kanisani au msikitini ni li
Tuna Rais wa ajabu mno, haijapata kutokea duniani kote.Kwanini usiweke wazi kabisa sasa hivi?
Tuna Rais wa ajabu mno, haijapata kutokea duniani kote.Aliebariki Hilo shambulio Ni mzee wa mission MBOWE, JPM angemtaka lisu siku ile ile mchezo ungeisha na hata huko Belgium alikoenda angemalizwa huko huko siku nyingi
Kura yangu kwa Lissu!Basi sawa, lakini kura za huruma NO!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Amina. Pole sana TAL.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa.
Lissu alisema katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo akiwa matibabuni nchini Kenya tangu apigwe risasi alikuwa anasikia maumivu makubwa kila mahali katika mwili wake kiasi kwamba ni vigumu kwa mwanadamu kuweza kuhimili.
Huku watu wakiangua kilio cha majonzi na matumaini Lissu alisema kwa mateso yale aliyopata hatamani mwadamu mwingine yeyote aliyezaliwa na mwanamke kupitia mateso yale tena.
Lissu amewaambia wananchi hao kwamba kuna watu wana hofu ya kulipiziwa kisasi pale atakapoapishwa kuwa Rais. Amesema watu hao wote waondoe hofu wakae na Amani ya Bwana.
Lissu amesema baada ya mateso yale kila kitu alikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kwani kamwe hakuponywa na Mwanadamu bali Mungu.
Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mungu kwa njia atakayoona Inafaa.
Umati huo uliitikia maneno hayo mazito kwa kutamka maneno "Amina" kama ishara ya kusema na Iwe hivyo.
Lissu Jana alipokewa kijijini kwake huko Ikungi Singida kwa kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa eneo hilo tangu Tanzania ipate Uhuru.
Kutokana na hali halisi inavyoonekana mpaka sasa mgombea huyo wa Chadema ana uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi.
I hope siku moja na wewe utapigwa risasi tuone itakuwaje? Heartless womanKila siku risasi, risasi.
Nani? Si umtaje?Rais wako ni katili mno Mkuu, utawala wake wa kidikteta unaelekea mwisho sasa.