Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Hivi huko kijijini Ikungi mapoliccm hayakuwepo yautawanye umati
 
Mwafrika pekee tu ambaye najua ndiyo hakuwa na 'Kisasi' wala 'Kinyongo' ni Hayati Nelson Madiba Mandela tu, ila kwa waliobakia wala Siwaamini.
Kwani wewe ndo uliyemshambulia? Basi enenda ukatubu na kumwomba msamaha ili uweze kupata amani.
 
Nimesoma,nilicho ambulia ni huzuni kwa maneno aliyoyasema TL,mungu ndiye atakaye walipa
 
Lissu hahitaji kura za huruma! Ana hoja ,uwezo na uthubutu! No Wonder you hate him and wanted him dead!
Tangu amerudi; tangu ameteuliwa mgombea na chama chake na tangu achukue fomu ameongea nini cha kushtua?
 
Unapigwa risasi na umeweza kumuachia Mungu ila kura zikiibiwa humuachii Mungu na barabarani patahusika.

He is simply saying "Kufa siyo tatizo kwangu, tatizo ni kutokua rais"
Una weza kupanga kujinyonga ila wakati unautafuta mti ukikimbizwa na mbwa unakimbia.... FIKIRIA!
 
Mwambieni auze sera za maendeleo sio kila siku anazungumza story moja ya kupigwa risasi hiyo tumeichoka. Anaboreshaje maendeleo ie kilimo, biashara, afya elimu nk
Subiri kampeni zianze utasikia hayo unayotaka kusikia!
 
Nelson Mandela alivyotoka jela alitangaza rasmi kuwasamehe wote waliomuingiza katika misukosuko.

Kubwa zaidi alimsamehe Gavana wa Kikaburu.

Dunia nzima ikasimama kujiuliza huyu mtu ana moyo wa chuma au ni wa hizi hizi vinyango tulizonazo sisi. Miaka 27 jela alafu simple tu unasema nimesamehe!

SASA HUYU KISEBENGO
Hajulikani kama kasamehe au vp? Leo kasema amesamehe kesho anasema mwili umejaa matundu ya risasi, keshokutwa unamsikia kisasi atalipa Mungu.

Hii ni dalili KWAMBA ukiondoa tukio la yeye kupigwa risasi! Yeye na CHADEMA hawana sera nyingine yoyote yenye mashiko.

TUKUTANE 10282020 NDIO NAMBA YA BAHATI
Akili yako haiko huru,msukule wa lumumba!
 
Kumbe Kijiji Cha Lissu kina wakazi Maelfu na Maelfu?

Njaa Ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom