Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Kwa mtanzania ambaye hana mtindikio wa ubongo kama wewe atatumia akili yake aliyojaliwa na Mungu kuwa kwenye tukio lile kulikuwa na mkono mrefu wa mtu mkubwa !
Hata na ww unatenda dhambi ya kudhania bure!!una hakika uyasemayo ama unaokota tu vijiweni unabandika hapa!!?
 
Way forward, mambo ya kukaa unafikiria visasii kama jiwe unageuka kua walewale tu. Swala ni kwenda mbele kwa umakini, hakuna kukaa unadeal na washamba.
 
Utukufu na Uwezo wa Mungu mwenyezi ulijidhihirisha wazi katika tukio la Lissu.

Asante sana Mwenyezi Mungu mola wetu kwa kukataa hila za madhalimu.
 
Ni washamba tu huweka visasi
ndiyo huyo mshamba mmoja wapo kwanza anahasira za kutokuja kupata kura za kumpeleka ikulu maana ni kitu ambacho hakiwezekani lissu kushinda u rais never hata wewe unajuwa hilo ila utakuwa unaleta ubishi tu
 
Ndiyo amemkumbuka Mungu!

Tangu amekuja siyo kanisani tu, hata kusema Mungu Asante hajawahi! Hata Watanzania waliomwombea na kumchangia matibabu neno asanta hajawahi kutamka!

Na dereva yako wapi? Au ulikuwa usanii!
Hapo ndiyo nawashangaa serikali!

Kanata Lisu , Minya, kamata dereva Minya Hadi waseme ukweli
 
Ndiyo amemkumbuka Mungu!
Tangu amekuja siyo kanisani tu, hata kusema Mungu Asante hajawahi!
Hata Watanzania waliomwombea na kumchangia matibabu neno asanta hajawahi kutamka!
Na dereva yako wapi????? Au ulikuwa usanii!
Hapo ndiyo nawashangaa serikali!
Kanata Lisu , Minya, kamata dereva Minya Hadi waseme ukweli
dereva na mbowe ndiyo wanajuwa walichokifanya ndiyo maana wamemficha dereva na ipo siku watamtoa tu na upelelezi utaanza
 
Kwa mtanzania ambaye hana mtindikio wa ubongo kama wewe atatumia akili yake aliyojaliwa na Mungu kuwa kwenye tukio lile kulikuwa na mkono mrefu wa mtu mkubwa !
Ubongo wako hauna oxygen....
ni wakusamehe bure ww...
 
Back
Top Bottom