Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Nelson Mandela alivyotoka jela alitangaza rasmi kuwasamehe wote waliomuingiza katika misukosuko.

Kubwa zaidi alimsamehe Gavana wa Kikaburu.

Dunia nzima ikasimama kujiuliza huyu mtu ana moyo wa chuma au ni wa hizi hizi vinyango tulizonazo sisi. Miaka 27 jela alafu simple tu unasema nimesamehe!

SASA HUYU KISEBENGO
Hajulikani kama kasamehe au vp? Leo kasema amesamehe kesho anasema mwili umejaa matundu ya risasi, keshokutwa unamsikia kisasi atalipa Mungu.

Hii ni dalili KWAMBA ukiondoa tukio la yeye kupigwa risasi! Yeye na CHADEMA hawana sera nyingine yoyote yenye mashiko.

TUKUTANE 10282020 NDIO NAMBA YA BAHATI
 
Kwakweli inaumiza sana ! Hii dhambi kubwa ya mauaji Magu haitamwacha salama kabisa the rest of his life.Yeye ni mkristo na Biblia inatufunza kuwa hakuna binadamu mwenye mamlaka juu ya uhai wa mtu mwingine isipokuwa ni mwenyezi Mungu tu. Roho ya ajabu sana hii kutaka kutwaa roho ya mwenzio kisa madaraka.Mungu kaanza na Lupaso sasa !!
Nimeshindwa cha kuandika zaidi ya Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
 
Kwakweli inaumiza sana ! Hii dhambi kubwa ya mauaji Magu haitamwacha salama kabisa the rest of his life.Yeye ni mkristo na Biblia inatufunza kuwa hakuna binadamu mwenye mamlaka juu ya uhai wa mtu mwingine isipokuwa ni mwenyezi Mungu tu.Roho ya ajabu sana hii kutaka kutwaa roho ya mwenzio kisa madaraka.Mungu kaanza na Lupaso sasa !!
Hata na ww unatenda dhambi ya kudhania bure!!una hakika uyasemayo ama unaokota tu vijiweni unabandika hapa!!?
 
Njia aliyoipitia Tundu Lisu na mateso aliyoyapitia, hakuna ajuaye, zaidi ya Yeye na Mungu wa Jweli tunayemwabudu.

Hapo zamani kila upatanisho au mkataba uligungwa kwa damu. Na baadaye Masihi wetu akaitoa damu yake kwaajili ya wote, ili yeye awe wa mwisho kwenye kutoa sadaka ya damu.

Lakini shetani amelazimisha umwagaji damu urndelee kuwa njia ya kuwakomboa wanadamu.

Tulikuwa kwenye utumwa wa mtu mweupe, tukapambana mpaka tukapata uhuru wa bendera. Taratibu tumerudishwa utumwani. Watu hawaruhusiwi kufikiri, kupinga, kukosoa, kujadili, kuamua na kupanga. Mambo yote yapangwe na mtu mmoja asiyehojiwa! Huu ni ukoloni mbaya kuliko ule wa Mwingereza ambaye aliwapa nafasi machifu kuamua baadhi ya mambo kwenye maeneo yao.

Wakati wa kupigania uhuru, watu hawakuongelea uchumi. Maana uchumi kwa mtumwa hauna maana. Watu walipigania uhuru. Na safari hii tutapigia uhuru wetu wa mawazo, wa kukosoa, kuamua, kuhoji na hata kukataa, ikilazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna wa kuzuia, kishindo cha mwangwi wake,
Mola aliyemshindia, yupo na imara kwake,
Atazidi msimamia, kuokoa nchi yake,
Kung’ara itaendelea, SAUTI na nguvu yake.

1597046672929.png
 
Unapigwa risasi na umeweza kumuachia Mungu ila kura zikiibiwa humuachii Mungu na barabarani patahusika.

He is simply saying "Kufa siyo tatizo kwangu, tatizo ni kutokua rais"
 
Mwambieni auze sera za maendeleo sio kila siku anazungumza story moja ya kupigwa risasi hiyo tumeichoka......
anaboreshaje maendeleo ie kilimo, biashara, afya elimu nk
Wewe ndiye uliyechoka
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.

Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa...
Yule aliyepewa ubunge na Magufuli baada ya kumpora Tundu lisu ubunge atakuwa alitamani awe yeye hiyo jana
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo...

Mwafrika pekee tu ambaye najua ndiyo hakuwa na 'Kisasi' wala 'Kinyongo' ni Hayati Nelson Madiba Mandela tu, ila kwa waliobakia wala Siwaamini.
 
Yaliyomkuta yanaumiza lakini asifikirie kwamba atakuwa rais kisa alipitia hayo.

Urais asahau
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.

Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa...
Hallelujah!
 
Kwakweli Mungu ameishaanza kulipa kisasi, aliewatuma wasiojulikana ameanza kuropoka mitusi ya nguoni majukwaani! Kila mtu anamwona mwendawazimu!
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.

Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa...
Muulizeni Tundu Lissu anamwongelea Mungu yupi! Yeye anawacheka sana watu wanaokwenda kuabudu misikitini na makanisani anawaita wamechanganyikiwa. Sasa leo anawakumbuka. Kwani mara ya mwisho huyu jamaa kuingia kanisani au msikitini ni li
 
Imagine aliyetoa go ahead dhidi ya shambulio ya Lisu Tundu akisikia haya maneno. Ila ila kuna watu rohoo zao zinateseka japo tunawaona wanatembea mwili ukiwa mzima.
Pia kuna watu mnaona wanatembea kumbe ni maibilisi kabisa,mengine yanajizungusha makanisani na misikitini kumbe ni mashetani kabisa sio binadamu wale.ukisikiliza hii stori utaamini hapa duniani kuna binadam na mashetani wanaotembea
 
Back
Top Bottom