Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Kwa akili yako kijiji hakiwezi kuwa na wakazi maelfu? IdiotKumbe Kijiji Cha Lissu kina wakazi Maelfu na Maelfu?
Njaa Ni mbaya sana
Kwa akili yako kijiji hakiwezi kuwa na wakazi maelfu? IdiotKumbe Kijiji Cha Lissu kina wakazi Maelfu na Maelfu?
Njaa Ni mbaya sana
Nitukane mimi usihamishe magoli.Ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufutaPoor ww babiyo na mamiyo....
sijakuita hapa
Siku nyingine usitumie lugha ya matusi....Nitukane mimi usihamishe magoli.Ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufuta
Mungu awe pamoja naye, hili ni fumbo zito maana mpaka Sasa halijafumbuliwa Lissu alipigwa risasi , Mbowe aliteguliwa mguu wanaofanya hivyo hawajulikani Basi na hili tumuachie Mungu Kama tulivyofanya kwenye Covid-19, Lakini Lissu kushinda urais 2020 ni vigumu sana.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa.
Lissu alisema katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo akiwa matibabuni nchini Kenya tangu apigwe risasi alikuwa anasikia maumivu makubwa kila mahali katika mwili wake kiasi kwamba ni vigumu kwa mwanadamu kuweza kuhimili.
Huku watu wakiangua kilio cha majonzi na matumaini Lissu alisema kwa mateso yale aliyopata hatamani mwadamu mwingine yeyote aliyezaliwa na mwanamke kupitia mateso yale tena.
Lissu amewaambia wananchi hao kwamba kuna watu wana hofu ya kulipiziwa kisasi pale atakapoapishwa kuwa Rais. Amesema watu hao wote waondoe hofu wakae na Amani ya Bwana.
Lissu amesema baada ya mateso yale kila kitu alikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kwani kamwe hakuponywa na Mwanadamu bali Mungu.
Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mungu kwa njia atakayoona Inafaa.
Umati huo uliitikia maneno hayo mazito kwa kutamka maneno "Amina" kama ishara ya kusema na Iwe hivyo.
Lissu Jana alipokewa kijijini kwake huko Ikungi Singida kwa kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa eneo hilo tangu Tanzania ipate Uhuru.
Kutokana na hali halisi inavyoonekana mpaka sasa mgombea huyo wa Chadema ana uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi.
Sawa mama hurumaHatutoi kura za huruma hapa!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Siku nyingine usitumie lugha ya matusi....
jibu kistaarabu hakuna sehemu nimeanza kukutukana mimi.....
Mdahalo haupigi kuraHaihitaji Kira za huruma!! Mwambie magufuli wakutane kwenye mdahalo mmoja uone atakavyogalagazwa asubuhi😀
Dawa imeingia. Naona mmekuja vurururuvurururu!Mkuu, ni busara zaidi kukaa kimya. Hajaomba kura za huruma! Mungu alishamhurumia kwa kumponya kura ni jambo lingine na kama ni mpango wa Mungu binadamu hata akibeza!!!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Kama imekukera sawa.Hebu jaribu kufikiri angekua baba yako au mtoto wako alafu awe anataka nafasi ya kikatiba ya kugombea urais wa nchi bado ungemdhihaki hivi?
Ebu mtume my wife wako aje anitembelee na alale kwangu ili kesho yake akusimulie nilivyo mtamu. Ahahahahahah!!!Mabinti wa sikuhizi mnapenda kujiita majina matamu Sana kama sweettablet
Inaumiza sana kwa jinsi alivyoumizwa kila mahali, nimemsikia kwa kweli ni tukio baya na wahusika watalipwa kwa matendo yao na Mungu Mwenyezi.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa.
Lissu alisema katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo akiwa matibabuni nchini Kenya tangu apigwe risasi alikuwa anasikia maumivu makubwa kila mahali katika mwili wake kiasi kwamba ni vigumu kwa mwanadamu kuweza kuhimili.
Huku watu wakiangua kilio cha majonzi na matumaini Lissu alisema kwa mateso yale aliyopata hatamani mwadamu mwingine yeyote aliyezaliwa na mwanamke kupitia mateso yale tena.
Lissu amewaambia wananchi hao kwamba kuna watu wana hofu ya kulipiziwa kisasi pale atakapoapishwa kuwa Rais. Amesema watu hao wote waondoe hofu wakae na Amani ya Bwana.
Lissu amesema baada ya mateso yale kila kitu alikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kwani kamwe hakuponywa na Mwanadamu bali Mungu.
Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mungu kwa njia atakayoona Inafaa.
Umati huo uliitikia maneno hayo mazito kwa kutamka maneno "Amina" kama ishara ya kusema na Iwe hivyo.
Lissu Jana alipokewa kijijini kwake huko Ikungi Singida kwa kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa eneo hilo tangu Tanzania ipate Uhuru.
Kutokana na hali halisi inavyoonekana mpaka sasa mgombea huyo wa Chadema ana uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi.
Wamarekani wanaita "fella" means non-standard spelling of fellow, used in representing speech in various dialects.Kwani umeombwa kura? Fála wewe!