Unapigwa risasi na umeweza kumuachia Mungu ila kura zikiibiwa humuachii Mungu na barabarani patahusika.
He is simply saying "Kufa siyo tatizo kwangu, tatizo ni kutokua rais"
Ndo maana kuna uchaguzi kila mwaka na ccm ndo iko tiyari kuua ili kubaki madarakani
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa.
Lissu alisema katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo akiwa matibabuni nchini Kenya tangu apigwe risasi alikuwa anasikia maumivu makubwa kila mahali katika mwili wake kiasi kwamba ni vigumu kwa mwanadamu kuweza kuhimili.
Huku watu wakiangua kilio cha majonzi na matumaini Lissu alisema kwa mateso yale aliyopata hatamani mwadamu mwingine yeyote aliyezaliwa na mwanamke kupitia mateso yale tena.
Lissu amewaambia wananchi hao kwamba kuna watu wana hofu ya kulipiziwa kisasi pale atakapoapishwa kuwa Rais. Amesema watu hao wote waondoe hofu wakae na Amani ya Bwana.
Lissu amesema baada ya mateso yale kila kitu alikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kwani kamwe hakuponywa na Mwanadamu bali Mungu.
Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mungu kwa njia atakayoona Inafaa.
Umati huo uliitikia maneno hayo mazito kwa kutamka maneno "Amina" kama ishara ya kusema na Iwe hivyo.
Lissu Jana alipokewa kijijini kwake huko Ikungi Singida kwa kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa eneo hilo tangu Tanzania ipate Uhuru.
Kutokana na hali halisi inavyoonekana mpaka sasa mgombea huyo wa Chadema ana uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi.
Labda Raisi wa Chatto sio TanzaniaUko vizuri kijana, Magufuli ndio rais wako 2015-2025!
🙏🙏Nimeshindwa cha kuandika zaidi ya Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
TUKUTANE OKTOBA 28!Labda Raisi wa Chatto sio Tanzania
SawasawaTUKUTANE OKTOBA 28!
Hakika Adhabu ya Mungu itawaangukia Damu ya Tundu Lissu Mungu atajua cha Kuwafanya Wote WaliohusikaMgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa.
Lissu alisema katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo akiwa matibabuni nchini Kenya tangu apigwe risasi alikuwa anasikia maumivu makubwa kila mahali katika mwili wake kiasi kwamba ni vigumu kwa mwanadamu kuweza kuhimili.
Huku watu wakiangua kilio cha majonzi na matumaini Lissu alisema kwa mateso yale aliyopata hatamani mwadamu mwingine yeyote aliyezaliwa na mwanamke kupitia mateso yale tena.
Lissu amewaambia wananchi hao kwamba kuna watu wana hofu ya kulipiziwa kisasi pale atakapoapishwa kuwa Rais. Amesema watu hao wote waondoe hofu wakae na Amani ya Bwana.
Lissu amesema baada ya mateso yale kila kitu alikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kwani kamwe hakuponywa na Mwanadamu bali Mungu.
Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mungu kwa njia atakayoona Inafaa.
Umati huo uliitikia maneno hayo mazito kwa kutamka maneno "Amina" kama ishara ya kusema na Iwe hivyo.
Lissu Jana alipokewa kijijini kwake huko Ikungi Singida kwa kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa eneo hilo tangu Tanzania ipate Uhuru.
Kutokana na hali halisi inavyoonekana mpaka sasa mgombea huyo wa Chadema ana uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi.
Shetani hajawahi kumshinda MunguMgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa.
Lissu alisema katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo akiwa matibabuni nchini Kenya tangu apigwe risasi alikuwa anasikia maumivu makubwa kila mahali katika mwili wake kiasi kwamba ni vigumu kwa mwanadamu kuweza kuhimili.
Huku watu wakiangua kilio cha majonzi na matumaini Lissu alisema kwa mateso yale aliyopata hatamani mwadamu mwingine yeyote aliyezaliwa na mwanamke kupitia mateso yale tena.
Lissu amewaambia wananchi hao kwamba kuna watu wana hofu ya kulipiziwa kisasi pale atakapoapishwa kuwa Rais. Amesema watu hao wote waondoe hofu wakae na Amani ya Bwana.
Lissu amesema baada ya mateso yale kila kitu alikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kwani kamwe hakuponywa na Mwanadamu bali Mungu.
Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mungu kwa njia atakayoona Inafaa.
Umati huo uliitikia maneno hayo mazito kwa kutamka maneno "Amina" kama ishara ya kusema na Iwe hivyo.
Lissu Jana alipokewa kijijini kwake huko Ikungi Singida kwa kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa eneo hilo tangu Tanzania ipate Uhuru.
Kutokana na hali halisi inavyoonekana mpaka sasa mgombea huyo wa Chadema ana uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi.
Nimeguswa na alivyotamka "kamwe hakuponywa na mwanadamu Bali Mungu"Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa Yale yaliyompata kamwe si agenda yake kwa Sasa.
Lissu alisema katika kipindi cha wiki mbili za mwanzo akiwa matibabuni nchini Kenya tangu apigwe risasi alikuwa anasikia maumivu makubwa kila mahali katika mwili wake kiasi kwamba ni vigumu kwa mwanadamu kuweza kuhimili.
Huku watu wakiangua kilio cha majonzi na matumaini Lissu alisema kwa mateso yale aliyopata hatamani mwadamu mwingine yeyote aliyezaliwa na mwanamke kupitia mateso yale tena.
Lissu amewaambia wananchi hao kwamba kuna watu wana hofu ya kulipiziwa kisasi pale atakapoapishwa kuwa Rais. Amesema watu hao wote waondoe hofu wakae na Amani ya Bwana.
Lissu amesema baada ya mateso yale kila kitu alikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kwani kamwe hakuponywa na Mwanadamu bali Mungu.
Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mungu kwa njia atakayoona Inafaa.
Umati huo uliitikia maneno hayo mazito kwa kutamka maneno "Amina" kama ishara ya kusema na Iwe hivyo.
Lissu Jana alipokewa kijijini kwake huko Ikungi Singida kwa kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa eneo hilo tangu Tanzania ipate Uhuru.
Kutokana na hali halisi inavyoonekana mpaka sasa mgombea huyo wa Chadema ana uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi.
Mkubwa sana aiseeeNimeshindwa cha kuandika zaidi ya Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
Lile li Hutu lenu litakuwa linajambajamba tu sasa hivi! Mwaka huu litafia jukwaani!Hatutoi kura za huruma hapa!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Hajaomba kura za huruma na wala atafanyaje hivyo hata siku moja! Anayetaka kura za huruma ni yule anayetambia madaraja eti tumhurumie aendelee kujenga madaraja! Mkoloni mweusi ndio mwanzo wa mwisho wake huu!Yeye Lissu! Swali lingine?
TUKUTANE OKTOBA 28!
Kwa mimi bora nchi hii iongzwe na Mhutu lakini sio Shoga lenu!Lile li Hutu lenu litakuwa linajambajamba tu sasa hivi! Mwaka huu litafia jukwaani!
Mwaka huu mtajamba cheche chuma cha pua ndio kiko hapo kimeshika kasi! Pacemaker mwaka huu mpaka ifeli!Kwa mimi bora nchi hii iongzwe na Mhutu lakini sio Shoga lenu!