Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'


Asipomjua adui yake atapigwa na kivuli cha jpm.
 
Kwa mujibu wa taratibu za ulinzi hasa unaofanywa na vyombo vya dola mfano polisi huwezi pangwa LINDO halafu ujiondokee na uhalifu utokee halafu uachwe tu.Hiyo mission ya kumterminate Lissu ilikuwa planed licha ya kwamba Mungu wake hakutaka afe.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Tukupe sumu imuue mdo mdo ionekane Ni corona
 
Acha kuwasingizia waTanzania uwongo.
Hakuna mtanzania mwenye akili na mpenda maendeleo alie furahiya kifo cha Magu.
Furaha ni kwa nyie vyeti fek na wasaliti wachache wenye access ya JF.
Nitajie mmoja mwenye akili aliyesikitishwa na kifo cha Jiwe nami nikutajie mwenye akili kumi waliofurahia kifo cha huyo mwamba wenu
 
Na walio toa cctv ni akina nani? Kwanini mamba wako alikataa uchunguzi kufanyika? Muwe mnatua akili kidogo hata kama wewe ni Sukuma gang
 
Kufa Magufuli na akasema hilo, litabaki kuwa chaguo lake.
Tulimchagua kutuongoza siyo kufa kwa ajili yake binafsi na sukuma gang.

Na kama alipenda kufa siyo sahihi aupoteze uhai wa mtu yeyote kupitia wasiojulikana.
Kunasiku mtaokota makopo, kupambana na Marehemu 24/7 inahitaji uwe fyatu kidogo.
 
Kwani mmejuaje kama alipigwa nao, kwa nini msipanue wigo na kusema kapigwa na maadui ndani ya chama chake...watu wanaweza wali take advantage ya mahusiano na Serikali
Serikali isingeweza kukaa kimya lazima ingejisafisha kwakuwa lissu àna hadhi nchini na wakati ule alikuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni
 
Nyinyi watu hopeless sana, mleteni dereva mmalizeutata.
Acheni ujuaji uchwara, otherwise weka hiyo taarifa unayosema serikali
Kukataa kufanya uchunguzi.
 
Mleta mada kubali tu ile ni “poetic justice”. Hakuna sherehe ya kifo wala kufurahia kisasi cha kupigwa risasi 16. Havina uhusiano. Mjadala mrefu hauna maana hapa. It’s irrelevant.

Lissu kaiwasilisha habari bila mikwaruzo “plainly”: aliyekanusha uwepo wa Covid-19 na kutupilia mbali tahadhari zote, Covid-19 imepita naye kuelekea kuzimu. Hiyo ndio poetic justice. And Lissu was not laughing or smiling - he just had that sad aloof outlook.
 
Serikali isingeweza kukaa kimya lazima ingejisafisha kwakuwa lissu àna hadhi nchini na wakati ule alikuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni
Sio lazima...hata hivyo watoa ushahidi wote waliobdoka unategemea nini...dereva kama first witness alisepa...sijajua mpaka leo ni kwanini alisepa..
 
Hahaa jomba unajaribu kuteteeea..ukweli..kuwa mkweli always
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…