Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Tundu lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake ,kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM .
Umeongea ukweli mtupu bro. Hata Chachawangwe angeuwawa kipindi cha Magufuli, lawama za kifo chake angetupiwa Magufuli huku wahusika wa kifo chake wakiendelea kucheka na familia yake, kama wanavyokula, kunywa na kucheka na familia ya Lisu leo.

Juhudi zake na umaarufu wake ndan ya chama chake zilimfanya bwana yule ahofie kiti chake, ndomaana hata Sumaye pamoja na kwamba ana ulinzi wake lakini alionywa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi wake. So ijekuwa Lisu anaezurura peke yake!

Siku ya hukumu au kiama (kama ipo) tutaona mengi hata yale ambayo hatukuyatarajia au kuyafikiria.
 
Ndugu COMTE na CCCM Yako ni wanufaika wakubwa wa siasa za maji taka.

Ninyi CCCCM Kila siku ndo mnamtukana Magu majukwwaani halafu mnataka CDM na Lissu waonekane ndo wahusika.

CCM ni Chama chakavu na kimeishiwa HOJA.

Watanzania na wananchi wa Kanda ya ziwa wamestuka na kuwapuuza.
 
Mkuu tupe proof ya hayo unayoyaleta hapa? Sikiliza hukumu ya mwisho na ya haki ni ya Mungu, na wewe si Mungu. Usikipe Umungu kwa kuhukumu watu.
 
Bila kuzunguka mbuyu, wewe ni mjinga, ndiyo maana maana Sukuma gang wote mnaonekana ni wapuuzi mbele ya Watanzania
 
Uchawa mwingine ni mavi! Sasa muuaji mkuu mwingine anayefahamika hata na shetani wenzake ni nani kama siyo yeye aliyeamuru hata mwili wake usipelekwa bungeni kuagwa endapo atakufa!
 
Uchawa mwingine ni mavi! Sasa muuaji mkuu mwingine anayefahamika hata na shetani wenzake ni nani kama siyo yeye aliyeamuru hata mwili wake usipelekwa bungeni kuagwa endapo atakufa!
Tuelezetu wewe KUPE Chacha Wangwe alikufa vipi?
 
Ni nani alitaka kumuua Lisu?
 
Tundu lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake ,kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM .
Ni nani alitaka kumuua?
 
Magufuli alikubalika Kanda ya ziwa sababu alishiriki kikamilifu kucopy HOJA za CDM Kutoka ILANI ya CHADEMA na kuitekeleza.

Mfano mzuri ni ujenzi wa SGR, Magufuli alichukua wazo Hilo na kulianzisha.

Kupambana na Wala RUSHWA pia alicopy Kutoka ILANI ya CDM enzi za Dr Slaa.

MAGUFULI na CDM ni marafiki wazuri Kanda ya ZIWA kiitikadi na kiuzalendo.
 
Kwa CCM waliobaki siyo Mashetani,mbona tunaishi maisha magumu ndani ya taifa tajiri.
 
Unatoaje maoni kwenye kifo?! Ukitaka kujua hebu fikiria kila kwenye maziko ya waislam hutolewa tangazo la nani ana mdai marehemu- ulishaona watu wanijitokeza? Unadhani ni ujinga au uoga?
Watanzania wengi waliumizwa na huyo mungu wako ambaye kwa sasa yuko motoni
 
Uchawa mwingine ni mavi! Sasa muuaji mkuu mwingine anayefahamika hata na shetani wenzake ni nani kama siyo yeye aliyeamuru hata mwili wake usipelekwa bungeni kuagwa endapo atakufa!
Na Mwangosi aliyeuwawa kinyama,aliuwawa na Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…