Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

Anataka kuzuia uchaguzi, hii nchi ina vichekesho
 
Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.

Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.

Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.

Update

Ukumbi ni Mlimani City
Muda ni saa 5 asubuhi
Gharama za event zimetokana michango ya diaspora, sauti ya watanzania group na watanzania wapenda mabadiliko. (Mil 10)
Ni jambo jema, nahisi anaenda. Kutangaza Nia ya kugombea uwenyekiti.Binafsi namuombea mungu, pia nawaomba wapenda mabadiliko wamuunge mkono
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu ataongea na Waandishi wa Habari kesho Alhamis 12/12/2024 saa 5:00 Asubuhi

Makamu Mwenyekiti amearifu Ukurasani X

Wote mnakaribishwa

Mlale unono 😂

Kwako Makupa
Huu ujumbe usambae kote kwa wapenda demokrasia
 
Tatizo la lisu ni kuongea sana.

Unaweza kuta yote hayo kwenye press hakuna jipya alishayaongea.
 
Back
Top Bottom