Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

Ni kipi cha kuchekesha "kuzuia uchafuzi"!

Kuna kosa lolote uhalifu ukizuiwa kufanyika?
Kama kuna uhalifu, awasiliane na vyombo vya dola, ukijichukulia sheria mkononi, na dola itakuweka mikononi
 
1733978958387.jpg
 
Kama kuna uhalifu, awasiliane na vyombo vya dola, ukijichukulia sheria mkononi, na dola itakuweka mikononi
Dola ipi, CCM? Hivi unapo andika ujinga wa aina hii huwa pia unaona umechangia chochote cha maana, au unajisemea tu mradi uonekane umeandika chochote JF hata kama hakina maana?
 
CCM na dola ni taasisi tofautii, jitahidi kuficha ujinga wako, ndugu zako tunaaibika

Kuna tofauti kubwa ya mimi mjinga na wewe uliye mpumbavu..
Sipotezi muda na mpumbavu.
 
Back
Top Bottom