Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

Anataka kuzuia uchaguzi, hii nchi ina vichekesho
 
Ni jambo jema, nahisi anaenda. Kutangaza Nia ya kugombea uwenyekiti.Binafsi namuombea mungu, pia nawaomba wapenda mabadiliko wamuunge mkono
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu ataongea na Waandishi wa Habari kesho Alhamis 12/12/2024 saa 5:00 Asubuhi

Makamu Mwenyekiti amearifu Ukurasani X

Wote mnakaribishwa

Mlale unono 😂

Kwako Makupa
Huu ujumbe usambae kote kwa wapenda demokrasia
 
Tatizo la lisu ni kuongea sana.

Unaweza kuta yote hayo kwenye press hakuna jipya alishayaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…