NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Lisu ni aseti isiyochuja hawezi kosa chama Cha kwenda!Lissu anazo hoja,lkn maajabu ni kuwa wenzio wamemgeuka inabidi atiwe moyo ili kuboresha muungano
SawaTetesi
Kuna wakati tukubaliane kuwa Mbowe ana ajenda zakeLisu ni aseti isiyochuja hawezi kosa chama Cha kwenda!
Labda kama Mama anamtumia Mbowe kugawa kura za chadema 2025!
Ni magaidi wenye nia ya kuiharibu nchi yetu.hapo tatizo sio Lisu tu bali ni genge zima la uongozi wa Chadema.
ndio maana Hayati JPM alilitokomeza hili genge la kihuni maana halikuwa wala halijawa na kamwe halitokuwa na nia njema na Taifa letu.
Mimi kwa uelewa wangu na nikimtizama Kwa nafsi yangu !mbowe sio mpinzani Bali analea taasisi ya upinzani Kwa malengo maalumu ya Dola na sio ya ccm hii ya Sasa labda ile CCM ya kina warioba enzi zile za mwalimu!!Kuna wakati tukubaliane kuwa Mbowe ana ajenda zake
CHADEMA ipo huyo fara yuko kuzimu.hapo tatizo sio Lisu tu bali ni genge zima la uongozi wa Chadema.
ndio maana Hayati JPM alilitokomeza hili genge la kihuni maana halikuwa wala halijawa na kamwe halitokuwa na nia njema na Taifa letu.
just organise and assemble yourselves bihind your able, and visionary young leaders.....Kila siku Ccm Chadema
Ebu tuachane na hao wanasiasa uchwara
Tujadili jinsi gani ya kujikomboa sisi watanzania kutoka kwa hawa Mafisadi waliojificha kwenye mgongo wa Utawala
Hapo sasa.Hivi ccm imeufyata kumfuta uanachama Makonda kwa kutangaza uzushi kwamba Kuna mawaziri wanamtukana rais? Kamati ya maadili ya ccm imeufyata?
Trust me broSource?
hayati JPM hakukosea.Ni magaidi wenye nia ya kuiharibu nchi yetu.
Yuko wapi huyo fara mwenzio.hayati JPM hakukosea.
tuliza ball, kua mstahimilivu na mwenye subra. mchecheto wa nini dhidi ya political statements and rumors πModerator kwa kuachia nyuzi za kishirikina kama hizi zisizo na chembe ya ukweli jukwaani, Hali ya hewa ikichafuka msimlaumu mtu.
Kikao cha Kamati kuu kimetangazwa hadharani na ajenda zake ziko wazi, huu ujinga wa huyu jamaa mnauacha hapa ili iweje?
Ukweli ndiyo huo,asante.tuliza ball, kua mstahimilivu na mwenye subra. mchecheto wa nini dhidi ya political statements and rumors π
let's wait and see the outcomes za kikao. acha kubabaika kamanda π
Shida ya Machadema muda wote vichwa vimewaka moto, utulivu zero . [emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuliza ball, kua mstahimilivu na mwenye subra. mchecheto wa nini dhidi ya political statements and rumors [emoji205]
let's wait and see the outcomes za kikao. acha kubabaika kamanda [emoji205]
watapata tabu sana na mihemko yao πShida ya Machadema muda wote vichwa vimewaka moto, utulivu zero . [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nguli wa sheria
Baada ya Covid 19 sasa umeingia uhonjwa mwingine hatari "Lisu fever" yaani tayari umekumba 50% ya wa-TZ.Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.
Yaani Lissu ndo anafutwa uanachama, afu Mbowe ashike adabu. Kivipi sasa?Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.