Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Baada ya Covid 19 sasa umeingia uhonjwa mwingine hatari "Lisu fever" yaani tayari umekumba 50% ya wa-TZ.
Lissu fever wapi. Watu wanaenda kushangaa Bionic man tu.

Jiulize, hivi kama asingekuwa anaropoka hovyo huko kuwa alicharangwa risasi mara 16 mara 32, mara 40 watu wangeenda kumwona? Ama kutoa matamshi ya uchochezi na ya kibaguzi?

CHADEMA mlikiri kuwa Lissu ni "Kivutio" chenu, itoshe hivi majuzi nimesikia kauli nyingine kuwa Lissu ni Mvuto.

Watu wanahitaji kuvutiwa na Sera na sio Bionic man.

Safari hii hakuna kura za huruma.
 
But kura za wizi zitakuwepo! Usijizime data, hakuna kupita kinape na kimajaliwa au kimakamba yaani bila kupingwa safari hii!
Again, Lissu kuwa bionic siyo kwa ridhaa yake Bali kwa matakwa ya binadamu mwenzake ambaye anaugulia maumivu yasiyo kifani moyoni mwake na ipo siku ataomba mic popote redioni au kanisani
amuombe msamaha ili nafsi yake ipone.
 
hapo tatizo sio Lisu tu bali ni genge zima la uongozi wa Chadema.
ndio maana Hayati JPM alilitokomeza hili genge la kihuni maana halikuwa wala halijawa na kamwe halitokuwa na nia njema na Taifa letu.
kabisa.
njaa ndio wamezitanguliza mbele
 
Wafuasi watiifu wanafuatilia kwa karibu tetesi hizi kuujua ukweli wake!
 
Ila we jamaa sijui ni kwa nini huwa huoni hata aibu kila ramli zako zinapoenda tofauti na matarajio yako. Ulikuja tena na bandiko kuwa Mchungaji Msigwa atatimka Chadema muda wowote, sasa ni miaka na hatuoni dalili, hujakoma tu, leo unakuja na ramli ya Tundu Lissu, hivi hujioni kama wewe ni mpumbavu?
 
But kura za wizi zitakuwepo!
Kwa kasi ya 6G
Usijizime data, hakuna kupita kinape na kimajaliwa au kimakamba yaani bila kupingwa safari hii!

Again, Lissu kuwa bionic siyo kwa ridhaa yake Bali kwa matakwa ya binadamu mwenzake ambaye anaugulia maumivu yasiyo kifani moyoni mwake na ipo siku ataomba mic popote redioni au kanisani
amuombe msamaha ili nafsi yake ipone.
Ieleweke simuombei Binadamu yeyote kuumizwa kwa namna yeyote ile.

Kilichomtokea Laigwanaan Lissu ni cha kulaaniwa. Mbaya zaidi ni kumtumia kwa malengo ya kuichafua Tanzania kwa Ubinafsi wao. Walaaniwe.

Ikumbukwe pia, Lissu alidai anawajua waliompiga risasi, kwamba aliwaona. Ni suala la muda tu, watatajana jinsi walivyotaka kuchafua mazingira ya nchi. Na sasa ndio hao hao wanaotaka Lissu ndie aje kuwa Raisi.

Wanaharakati wa CHADEMA na Masaliti wa Nchi hii.



Waache kutaka kujificha nyuma ya pazia la Maridhiano.
 
Fanya ukalale bwamdogo. kesho shule
 
Source Katibu Mwenezi Mboga mboga.
 
Umeongea utoto gani hapa?
 
TATIZO VIJANA WA CCM MNAFIKIRIA MAMBO NYETI KWA KUTUMIA MAKALIO
 

Kama ulisikia huwa kuna hatua za mwanzo za mtu kupatwa na uwendawazimu, ndiyo hii uliyo nayo wewe kwa sasa. Kitakachofuatia, hatutashuhudia uozo wa threads zako hapa jukwaani. Utakuwa unakuka majalalani na kutembea na suruali kichwani.

Kama una ndugu wa karibu, wakaribie haraka sana, wakufikishe Milembe hospital. Matibabu ya mapema, mara nyingi hutoa matokeo mazuri. Ukipuuza, shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…