Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Lissu Afutwe uanachama kwa kosa lipi ccm acheni kutumia pesa kuivuruga chadema tumeshtuka,miaka 20 mnahonga watu wetu rushwa,rushwa,rushwa stupid! isingekuwa human resource ya chadema iliyoko huko ccm iliishakufa zamani.
 
VICHAA MNAZIDI KUONGEZEKA
 
Lissu amepigwa risasi akiwa chadema na atafia chadema
 
Mimi sio mpumbavu,wewe ni mpumbavu sababu huelewi maana ya tetesi,karibu ccm
 
Wewe huna unalojua pole sana dogo,karibu ccm
 
Lissu Afutwe uanachama kwa kosa lipi ccm acheni kutumia pesa kuivuruga chadema tumeshtuka,miaka 20 mnahonga watu wetu rushwa,rushwa,rushwa stupid! isingekuwa human resource ya chadema iliyoko huko ccm iliishakufa zamani.

CHADEMA, ina watu wenye akili kubwa. CCM imejaa low minds. Uwezo wao unaishia kwenye kutoa rushwa na kuwanunua wapinzani wenye uroho, lakini hawawezi kuigusa leadership, ambayo kwa ujumla imejaa weledi mkubwa. Wanahangaika na kupoteza pesa ambayo wangeweza hata kuitumia kuwapa mafunzo wafuasi na viongozi wao, ambao kwa hakika, walio wengi wamejaa ujinga, na daima wanaishi kwenye ujinga.
 
Afadhali hata ingekuwa na wajinga, huenda siku moja wangeondokana na ujinga, lakini hawa wa aina ya mleta mada, wamefikwa na uwendawazimu wa kiwango cha juu, badala ya kuwahi matibabu Milembe, wao wanakuja JF!!
Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kabisaa mkuu!!!!!!
 
Akifutwa uanachama wa CHADEMA anwaweza akaanzisha chama chake (kama Zitto), au akajiteua kuwa mbunge wa kuteuliwa kwa tiketi ya CHADEMa (kama Halima), au akahamia NCCR-Mageuzi (kama Selasini), au akarudi CCM (David Silinde). . Alternatives zipo nyingi sana kwa wanasiasa Tanzania
 
Ngoja tusikie toka wapi tena si umeshasema
 
Naona Chademaphobia inaendelea kuitesa CCM!
Anyway bado huku kitaa tunangoja majibu ya hoja za Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…