kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Msikilize Lissu wewe zee la Lwanzari upate madini.Anahutubia wafuasi wake taifa limehutubiwa trh 31/12/2024!
Pascal Mayalla alisharuri hotuba ya Lisu isigongane na ya Amiri Jeshi mkuu ๐ผOut of the topic.....
Kwanini amechagua kuhutumia tarehe 1 January 2025??
Kwa wenye uwezo wa kung'amua hili washapata majibu...๐
that's good for mr. President, the next our united republic of tanzanian president, indeedHabari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
Na msongo wa mawazo anao piaLissu ana madeni mengi sana, anatafuta pa kutokea
Labda Taifa la nyumbu wa ufipa na vibaraka wenzakeHabari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
Baada ya kusubiria hizo hotuba za Nyerere walishiba au Bado aliwaacha na njaa Kali? ๐๐Leo watu watasubiri kwa hamu kama walivyokuwa wanasubiri hotuba za Nyerere.
Ukinikumbusha, Nyerere, unanikumbusha Bomu la Muungan..Baada ya kusubiria hizo hotuba za Nyerere walishiba au Bado aliwaacha na njaa Kali? ๐๐
Ahutubie taifa kama nani?Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.