Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

TAL ni Mrema WA pili!
Aondoke chadema, arudi TLS.
Cha kushangaza ,Shangazi alikuwa mshauri mkuu wa TAL,Ila tangu ajaze na kurudisha fomu,Shangazi alimkimbia mazima, aligundua TAL ameingia choo Cha kike!
 
afadhari shemeji yangu mama Abdul ,kahutubia Jana ,wangejichanganya na yeye ahutubie Leo , wangejikuta maelezo ya hutuba yake yanapatikana ukrasa wa nyuma
 
Back
Top Bottom