Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

Nadhani mleta mada ana Nia ya kumuhujumu Muhusika. Kuwa hawezi kutimiza ahadi. Mfano hii ya kuhutubia saa 12 lakini mpaka muda huu hakuna kinachofanyika.
Mbona hiyo hotuba kwa taifa inafahamika? Lakini inaweza kuwa vyombo husika kurusha vimehujumiwa na TCRA kama kawaida yao.
 
Attachments

  • All_Video_Downloader_mwanzotvplus_471812167_1028953629274349_3665509996264704436_njpg.jpg
    All_Video_Downloader_mwanzotvplus_471812167_1028953629274349_3665509996264704436_njpg.jpg
    107.2 KB · Views: 1
P

Mkuu Yohanne Mbatizaji johnthebaptist Sasa kazi kubwa mbele yetu ni kutumia nguvu ya ushauri umba, kawashauri wale manyumbu, kuacha unyumbu, tarehe 21 wachague chuma cha pua cha kuwaingiza ikulu na sio kuendelea kuchagua mlenda!.
Happy New Year!
P

Mkuu sana, Pascal Mayalla ,toka nikufahamu kwa hapa JF, nilikuwa sijawahi kukutana na hii lugha uliyoitumia! Daaah! Labda ndiyo maendeleo!
 
Mapungufu kwenye hotuba ya Antipasu
1. Kushambulia na kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi Jirani za Rwanda na Uganda kwa namna wanavyoendesha nchi zao. Hii moja kwa moja inadhibitisha kuwa huyu si Presidential Material na Kuna hatari atakiangamiza Chadema kama atapewa madaraka kwa sababu hawezi kuchuja maneno kulingana na wakati na mahali.
2. Kuna mapungufu kwenye mapendekezo yake ya namna ya kuzuia Rushwa ndani ya Chama hasa wakati wa uchaguzi ujao. Hasa kwa kuwatakia wajumbe wa mkutano watakaopiga kura kutopendelea mgombea yoyote. Mpiga kura anampendelea mgombea ndiyo maana anampa kura yake haswa kwa kuridhikA na sera na mipango ya mgombea katika kutimiza malengo ya Chama!
3......( Nitaendelea kadri nitakavyopata hotuba nzima)
 
Hutuba kaandaliwa na mariah sarungi!
 
Ukimsikiliza vixuri TAL ,utaona kabisa,ana msongo wa mawazo!
Chama kilipanga uchaguzi bila kuwa na kanuni , miongozo na taratibu za uchaguzi!
Kama vipo,kwanini asisubiri siku ya kupiga kura?
 
Mapungufu kwenye hotuba ya Antipasu
1. Kushambulia na kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi Jirani za Rwanda na Uganda kwa namna wanavyoendesha nchi zao. Hii moja kwa moja inadhibitisha kuwa huyu si Presidential Material na Kuna hatari atakiangamiza Chadema kama atapewa madaraka kwa sababu hawezi kuchuja maneno kulingana na wakati na mahali.
2. Kuna mapungufu kwenye mapendekezo yake ya namna ya kuzuia Rushwa ndani ya Chama hasa wakati wa uchaguzi ujao. Hasa kwa kuwatakia wajumbe wa mkutano watakaopiga kura kutopendelea mgombea yoyote. Mpiga kura anampendelea mgombea ndiyo maana anampa kura yake haswa kwa kuridhikA na sera na mipango ya mgombea katika kutimiza malengo ya Chama!
3......( Nitaendelea kadri nitakavyopata hotuba nzima)
Eti na wewe ni mchambuz wa hotuba
 
Ni wakati wa kampeni itifaki sio lazima izimgatiwe.
 
Back
Top Bottom