Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Popote ukiiona nakuomba unjulishe kaka
View: https://www.youtube.com/live/ozQqkisoXJ4?si=-dJcYa31tMZ-ZBEH
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popote ukiiona nakuomba unjulishe kaka
Mbona hiyo hotuba kwa taifa inafahamika? Lakini inaweza kuwa vyombo husika kurusha vimehujumiwa na TCRA kama kawaida yao.Nadhani mleta mada ana Nia ya kumuhujumu Muhusika. Kuwa hawezi kutimiza ahadi. Mfano hii ya kuhutubia saa 12 lakini mpaka muda huu hakuna kinachofanyika.
Msalimie mjukuu wake GIFT dogo alikuaga ni very starbonn..Tupo hapa Sebule ya Ununio kwa rafiki yangu Mzee Maokola Majogo 😄😄
P
Mkuu Yohanne Mbatizaji johnthebaptist Sasa kazi kubwa mbele yetu ni kutumia nguvu ya ushauri umba, kawashauri wale manyumbu, kuacha unyumbu, tarehe 21 wachague chuma cha pua cha kuwaingiza ikulu na sio kuendelea kuchagua mlenda!.
Happy New Year!
P
Kuna watu fulanifulani watakuwa wanafuatilia wakisikiliza kwa sauti ya chini sanaHabari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
Kama unajitia kamnazo utabakia na uzuzuo!Kumbe Jana Kuna kiongozi kahutubia taifa🤔🤔
Hutuba kaandaliwa na mariah sarungi!Mapungufu kwenye hotuba ya Antipasu
1. Kushambulia na kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi Jirani za Rwanda na Uganda kwa namna wanavyoendesha nchi zao. Hii moja kwa moja inadhibitisha kuwa huyu si Presidential Material na Kuna hatari atakiangamiza Chadema kama atapewa madaraka kwa sababu hawezi kuchuja maneno kulingana na wakati na mahali.
2. Kuna mapungufu kwenye mapendekezo yake ya namna ya kuzuia Rushwa ndani ya Chama hasa wakati wa uchaguzi ujao. Hasa kwa kuwatakia wajumbe wa mkutano watakaopiga kura kutopendelea mgombea yoyote. Mpiga kura anampendelea mgombea ndiyo maana anampa kura yake haswa kwa kuridhikA na sera na mipango ya mgombea katika kutimiza malengo ya Chama!
3......( Nitaendelea kadri nitakavyopata hotuba nzima)
Mpe chakula sio useme tu.Mm nawakumbusha tu vijana njaa ya Lisu
Kwani Samia haandaliwi?Hutuba kaandaliwa na mariah sarungi!
Utajua mwenyewe sisi tunajua unafiki wenu trh 23/9 lissu aliwaita uandamane hukutoka!Raia wa taifa hili hajaangaika na hiyo hotuba ya jana, ni kama vile katibu wa kata alikua anahutubia
Basi Hana cha ziada!Hutuba kaandaliwa na mariah sarungi!
Eti na wewe ni mchambuz wa hotubaMapungufu kwenye hotuba ya Antipasu
1. Kushambulia na kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi Jirani za Rwanda na Uganda kwa namna wanavyoendesha nchi zao. Hii moja kwa moja inadhibitisha kuwa huyu si Presidential Material na Kuna hatari atakiangamiza Chadema kama atapewa madaraka kwa sababu hawezi kuchuja maneno kulingana na wakati na mahali.
2. Kuna mapungufu kwenye mapendekezo yake ya namna ya kuzuia Rushwa ndani ya Chama hasa wakati wa uchaguzi ujao. Hasa kwa kuwatakia wajumbe wa mkutano watakaopiga kura kutopendelea mgombea yoyote. Mpiga kura anampendelea mgombea ndiyo maana anampa kura yake haswa kwa kuridhikA na sera na mipango ya mgombea katika kutimiza malengo ya Chama!
3......( Nitaendelea kadri nitakavyopata hotuba nzima)
Pole sana, ndiyo mwaka 2025 umeanza hivyo!! Funga sawa sawa mshipi Hali Tete huko mbeleni,Eti na wewe ni mchambuz wa hotuba
Hujatupa mrejesho wa alichokisema! Halafu nasikia katolea press Ubeleji na sio Makao Makuu ya Chama! Ahahahahaha! Atawaendesha kwa rimoti kutokea Ubeleji! Ahahahahaha!!!Bado hamjasema.