Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
nimependa hiyo jinsi ulivyowaelezea bila kupepesa jicho, sometimes huwa uko vzri sana, ila muda mwingine huwa mmmhhh! maono mazur sana ulioyo yatoa kuhusu hizi njemba mbili.

Huwa sipepesi macho mara zote, shida yangu huwa simsifii huyu unayetaka nimpambe.
 
Huwa sipepesi macho mara zote, shida yangu huwa simsifii huyu unayetaka nimpambe.
mimi huwa sipambi mtu ikija naitoa tu hata awe nani hata juzi uliona nilivyomtolea uvivu huyo unaye fikiru nampamba kwa kupenda kusifiwa..huo ndo ukweli, ukiona kimepotoshwa unagonga hapo hapo.
 
Dola ndio takataka gani hiyo.
 
Duh umemalizia kwakutukana salute kwako mkuu!
Pia umemanisha ukichaa wa Musiba kwa huyu bwana Musiba anasubiri!!
Dah shukran nimejifunza njia njema ya kutukana!
 
Inaonesha huna kabisa habari ya kinachoendelea kwenye siasa. Zitto na Tundu wanatoka bara MGOMBEA MWENZA LAZIMA ATOKE UPANDE WA PILI WA MUUNGANO na kuna sheria kwamba ukihamia chama kipya kaa miaka miwli ndo ugombee cheo cha kisiasa.
Hiyo sheria imetungwa lini ya kuwa ukihama chama unapigwa ban miaka miwili..!!!
 
Katawadhe maana hiyo ni ajenda yenu chonganishi.
 
Lengo kuu la mtoa mada Ni kuchonganisha upande wa upinzani
 
Hizi ni taarifa feki zinazosambazwa na vibaraka wa huu utawala ili ku-divert attention ya watu wasiwaze sana shida zinazotokana na kuporomoka kwa uchumi.

Hii wazungu wanaita "Wagging the Dog". Ni mkakati ambao hutumiwa na watawala pale wanapoishiwa "The Room to Manoeuvre", hali ambayo ndio inaikabili huu utawala kwa sasa.
 
The quilty are afraid...acha hizo hapa tutajua kama bad can win over good.
 
Ohooo, makamanda wataanza kumtukana Lisu. Ajichunge sana.
Muathirika anaposhambuliwa na kutokuhurumiwa ndio utambuzi wa uwepo wa shetani ndani ya baadhi yetu. Dumia ya leo unapojibu hoja kwa risasi unajitambulisha ulivyo athiriwa na APEDOMIA aka Unyani kama alivyubainisha Mch. MTIKILA r.i.p
 
Du!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…