Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.

Mimi ndio wakutumia symbion?

Gotta be serious wewe!

Dharau za rejareja sipendi!

Ni tatizo la settings hapa!
 
Act+cuf+chadema!!!!!!!!!


Ccm baba yenu bado hamjamjua nini anataka.?????
 
Kuna watu wanawatetea wanasiasa hapa,nadhani hawajui tabia za ukigeugeu wa politician's, hawa watu hutakiwi kuwaamini hata salamu tu
 
Umeamua kumtusi kisiasa kama IDD amin alivyo Fanya kwa JKN..........!
 
Kwenye siasa chochote cha weza kutokea na pengine hilo sio kitu cha kushangaza kabisa maana ata akienda TLP haiwezi kubadilisha misingi ya maisha binafsi, siasa ni kama mapenzi waweza fanya chochote ili upate penzi
 
We jamaa nilikuaga sijakujua vizuri. Kumbe ni muelewa wa mambo mzuri sana.
 
Ni kweli siasa kwao ni ajira tu. Hata yote waliyodai serikali ikitekeleza watapinga tu vinginevyo wanaona wasipopinga kazi hakuna.
 
Mmmmmmmm acha hizo Pascal. Sentensi yako ya mwisho hatareeeeeeeee.
 
Kuandika tu hujui halafu unataka tuamini mawazo yako kwenye vitu vikubwa vinavyohitaji akili kubwa kuliko kujua kusoma na kuandika?
 
Sijui ni nani yule nilimwambia Paskali hana haja ya kusoma Class 101 of Sarcasm Writing!
 
Lissu ni Mwanasiasa na Mwanasheria mwerevu na ana misimamo ya kisiasa iliyo tukuka na ndiyo maana ukiwapanga wanasiasa best 5 hapa Tanzania wenye akili na misimamo madhubuti basi Lissu atakuwa mmoja wapo.

Misimamo yake ya kisiasa na uwezo wake wa kipekee wa kujenga hoja ndiyo unaofanya Watanzania wampende na kumwamini.... na ndiyo ulipelekea baadhi ya watu wabaya kushindwa kujibu hoja zake na na kuona njia rahisi ni kumpeleka kaburini.

Ninachokiona mimi ni kwamba tutegemee ushirikiano kati ya ACT - Wazalendo ambayo ina nguvu kubwa Zanzibar na CHADEMA - Yaani coalition mpya inakuja kali zaidi ya UKAWA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…