Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 159
Lete ushahidi mlishinda wapi na mkaibiwa kura, kipindi kile cha akina Mrema au Dr. Slaa upinzani ulikuwa na nguvu zaidi ya mnavyofikiria eti Tundu Lissu ana nguvu kuzidi ile aliyokuwnayo Mrema au Dr Slaa wa kipindi kile? Tunadanganywa upinzani wa Tanzania in CCM B, ndomaana Leo wapo wengi wamerudi na utasikia wamenunuliwaKama ni hivyo kwanini mnaiba kura? HAKUNA uwezekano wa ccm kushinda popote kwa kura halali
Fanya utafiti Lissu labda awe Rais wa Singida Mashariki au Belgium ila Tanzania bado hatoshiMsaliti ni lugha na propaganda za Lumumba sio za wananchi. Nazo zimeshafeli kitambo sio nyimbo tena.
Ukiona wapi thihitisha kwa picha na video. Vinginevyo itakuwa porojo tu.
Hawana hamu na siasa au wanaogopa mabomu na mapoliccm?sina uthibitisho ambao ni picha ila ni vitu mpaka kue na mikutano tena nkuonyeshe, ni kitu cha kawaida sana hata watu 100 naonaga ni wengi maaana ni kama watu hwana ham na saisa tena sjui
Mbona mnamwogopa?? Anatisha kama Simba.Fanya utafiti Lissu labda awe Rais wa Singida Mashariki au Belgium ila Tanzania bado hatoshi
Waberoyaaaaaa!! Upokaka. Naona hukoKigamboni mmepigwa Fingersafi kabisa, akipata 16.7m, ambazo hazijawahi kufikiwa na mtu yeyote, tutampa JPM, yeye atapewa za JPM.Na mshindi tutampa JPM. Simple
tafuta ugali na familia yako ujinga huu sio wa responsible woman
Naona wewe ndio umekurupuka.Utakapo kurupuka Toka usingizini ujikute kumbe ulikuwa ukiota kwa makele ukiwa umepanda daladala utanitaarifu!
Nani anamuogopa msalitiMbona mnamwogopa?? Anatisha kama Simba.
Hawana hamu na siasa au wanaogopa mabomu na mapoliccm?
Angalia usijikute unaota unakojoa wakati umeshika Bomba kwenye daladala, utaaibika😂🤣😂Naona wewe ndio umekurupuka.
ndioHivi ye mwenyewe yupo kwenye orodha ya wapiga kura nchini?
Sio rahisi kushinda urais hata akiwa na kura nyingi
Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu.
Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais mwanzoni mwa July 2020 kupitia bendera ya upinzani ameeleza kuwa anatambua maumivu, mateso, umasikini na kero zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano. Taarifa zinaonesha kitakwimu kuanzia 2000 hadi 2018 zaidi ya wanafunzi 16.7M wamemaliza vyuo. Hawa ni kundi la wanamabadiliko. Wanaounga mkono sera za maendeleo wanaopenda uhuru na siasa safi.
1. Serikali imeamua kuwanyonga na kuwakamu mpaka damu graduates ( waliomaliza vyuo vikuu) kwa kutunga sheria mbovu za makato ya mikopo asilimia 15 kinyume cha sheria iliyokuwepo kwenye mkataba cha asilimia 8 tu. Hali hii iliyotetewa na wabunge wa CCM huku bunge likiwa gizani imeleta umaskini badala ya kuboresha maisha ya wahitimu hawa mara wanapoajiriwa au kujiajiri badala ya kuleta nafuu.
Imefika mahali mwajiriwa anaona bora asipate ajira afanye udalali au hata umachinga tu.
Mfano ni kijana mmoja nimekutana naye kwenye ofsi za bodi ya mikopo aliyesomea nchini China. Baada ya kupata ajira mshahara wake yaani gross salary ni 1.2M baada ya makato ya kodi za kikoloni na 15% ya Bodi ya mikopo anabakiwa tu na laki sita. Hali ni tete
2. swala la ajira limekuwa mtihani mkubwa na sintofahamu. Waliomaliza wanasugua visigino huku hakuna taasisi inayotoa mikopo nafuu ili wajiajiri kirahisi .walioko vyuoni hawaoni future yao maana wanaona kaka zao na dada zao wanavyohaha mtaani
Kundi hili kubwa litapata nafuu tu litakapomchagua kiongozi sio tu mwenye uchungu na maisha ya watanzania bali pia yeye mwenyewe ni mhanga wa uchumi mbovu uliosababishwa na serikali ya Rais Magufuli.
Hima hima wanavyo, wafanya kazi twende na Lissu Mzalendo wa Kweli.
Upinzani tunajua hakuna kama Lissu kwa muda huu. Tupeni haki yetu kwa kutuletea Mgombea mwenye sifa, uwezo na weledi wa kutuongoza. Kama Mgombea siyo Lissu hatutaki kusikia akina Membe? Nyalandu wala Lipumba. Ni bora tubaki na huyu huyu mvurugaji tutamzoea hivyo hivyo.
Asalam aleykum.
mkuu hakuna mtu niliemuita mjingaWewe una akili mjinga ni wewe unaewaita wengine wajinga
Mwache aamke tu. Atapigwa kipigo cha mbwa mwitu asijue la kufanya.Mkuu, mbona unamwamsha aliyelala?
Kuna jaa wapi mashabiki wa kuzolewa na magari. Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wanaamua kuahirisha shughuli za nchi na Rais wanalazimisha watumishi wahudhurie na wanafunziivi ulishawahi kuona sehem magufuli akihudhuria kunavojaaa wewe? mm nawaonea huruma tu maaana sielewi mna nia gan mpaka saaahv mgombea wenu yenyewe hatumjui vyama vyote vingine vishaweka mgombea watu washamaliza topic kitambo wanajipanga kwa wananchi nyie hata hatujui mgombea wenu ni nan hatuoni ata basi kama mna mpango wa kuungana yaani kwa kifupi hatuelewi uwepo wenu tunaona tu wanachama wenu wanakimbia bure
Keep cool, things are not as under control as you want them to be. Waliompiga Lissu risasi ni wale wale waliomuua Chacha au hujui hilo?Kama huna taarifa form amesharudisha, ya kugombea uraisi!! Lissu alikuwa kwenye matibabu ulaya baada ya kupigwa marisasi na kupona kifo ,hakuna asiye lijua hilo!!
Wewe unasema kuwa alijump bail kweli bila aibu? Wewe ni muhusika nini, Mungu amemponya ni lawyer atapambana na maswala ya mahakamani.
Keep cool things are under control, God is our driver!!
Maana ya mtu mjinga ni nini?mkuu hakuna mtu niliemuita mjinga
Uko sahihi kabisa, wanao muunga mkono Tundu.Labda wanafunzi wa lile genge la Gamboshi