Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao ndo machui wa taifa hili.. kawaumbua ndio maana limewashuka.Dah! Kumbe tuna mengi tusiyojua.
Nape aje atoe maelezo kwa nini tusimsikilize Lissu na badala yake tumlaani.
Kwahiyo ni kweli ??!Deal za hivi amezipiga sana Zitto alipokuwa bungeni na anarudi tena mwakani haya ndio mambo yanayomuweka town. I know what you did last summer 😂😂
Ajuza wa jumba jeupe ndio pekee mwenye akili kwenu nyie.Wajinga ndiyo waliwao.
Chadomo hawana sera wao wana porojo, kubwabwaja na kuhororoja bila mpango tu.
Hapo hakuna zaidi ya ufataani tu.
Duuh
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.
"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja majina mtashangaa. Kuna watu wanapewa vibali anaambiwa hivi kwa kila kilo moja ya kibali cha kuagiza sukari nje lipa Tsh. 200. Tukikupa tani 30,000, ni kilo milioni 30, zidisha mara 200 ni Tsh. Bilioni 6."
"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."
Ameongeza "Kama kuna mtu anabisha anataka tutaje orodha ya viongozi wa kidini waliopewa vibali vya sukari, viongozi wa kidini, Shehe gani kwenye nchi hii ana duka la sukari, au askofu gani kwenye nchi hii ana duka la sukari? Anapewaje kibali cha kuagiza tani 35,000 za sukari afu yeye anaenda kuuza kwa wafanyabiashara anawaambia nipe mia mbili mia mbili kwa kilo, wakibisha na wabishe waone. "
Upo sahihi. Hao waagizaji ndio wanaharibu kila kitu. Kuanzia ngano, mbolea, mafuta, mafuta ya kula, sabuni, sukari, mchele, madawa ya binadamu, nguo, vitenge e.t.c.Ndio maana nchi haitakaa kamwe iweze kujitegemea kwa uzalishaji wa bidhaa maana kuna watu wao na familia zao biashara yao ni kuagiza bidhaa kutoka nje. Kwa mfano watahujumu kwa nguvu zote sekta ya sukari kuanzia mashamba hadi uanzishaji wa viwanda vya sukari. Hata wakijidai kuanzisha kiwanda ni kuzuga ili waendelee kuagiza kutoka nje. Kuna familia zingine ni wagizaji wa ngano wengine wa mchele, wengine magari. Unakuta familia kama hizo nyingi niza asili ya kiasia na ni shughuli yao toka enzi ya ukoloni. Kwa hivyo kuhujumu viwanda na kuhonga wapewe vibali kupambana na vikwazo kuagiza ni katika kuhakikisha wanaendelea na maisha yao. Inahitaji uongozi aina ya kimagufuli kukabiliana na watu wabinafsi wenye kulinda maslahi yao kwa gharama ya mma na taifa ambalo linahitahi maendeleo ya kweli ya kiuchumi kwa watu wake.
Tatizo huna akiliNachukia Sana watu mnao tetea wahujumu uchumi.
Tatizo ulidondokewa na maji maji wakati umebeba jeneza la mwendazkHuyu malikia wenu ni mwizi
Malikia wako huyu anaekuuza huku unajiona hamuoni hata aibu?Tatizo ulidondokewa na maji maji wakati umebeba jeneza la mwendazk
Chama cheye sera zinazoeleweka ni CCM pekee, ndicho kinachoongoza nchi.Ajuza wa jumba jeupe ndio pekee mwenye akili kwenu nyie.
Kuna hoija kuna viroja tu hapa.Wenzio wanatoa hoja, wewe unaropoka.
Wewe ndiye Tundu Lissu? Hapana. Bali wewe ni mfuasi wa yule hayati aliyetaka kumuua Tundu Lissu. Ila Mungu alivyo wa ajabu akafa yeye kabla ya Tundu Lissu. Crimea kaa mbali na mambo ya LissuMalikia wenu huyu anajifanya mvaa ushungi kumbe mwizi tu?
Ndio maana juzi kwenye kura za maoni za gazeti la mwananchi alipata kura 17% dhidi ya 59% za marehemu
Wanaomwelewa huyu bibi ni wale machawa wake tu
Kina Bashe ndio mabumunda kabisa yanajifanya yako busy kumbe ni mahuni tu
Anasubiri nini sasa kutaja? Au mpaka mabasha wake wa Brusssels wamruhusu?Vilaza Mmeshapanik ....huyo haongeagi bila data hiyo KITU tunasemaga TAYARI!!
Stay tuned...hawako Bungeni ila Wako kwenye BUNGE LA WANANCHI
ni hazina ya taifaLissu alindwe
tulia tunaelekea pazuriNini kinafanya hoja za wapinzani zisitikise nchi? Watu wameshawazoea kwamba ni wa hivyo hivyo tu?
Majungu anayapika Bashite, eti ajuza ndiye anamtegemea kwenye ufitinishaji.Chama cheye sera zinazoeleweka ni CCM pekee, ndicho kinachoongoza nchi.
Hivi wananchi wenye akili zao waichaguwe chadomo kwa lipi zaidi? Sera yao nini zaidi ya majungu?
Tunajua kuwa mzanzibari, Sasa anawashwa na nini kuwafukuza wamasai nyumbani kwao!? Ili awakabidhi wajomba zake waarabu au!?Tundu Lissu atabali kila aina ya mipasho, Mzanzibari hajibu yule.
Mama Samia hapapariki kama mwendazake, yeye kimya tu. anaamini vitendo ndiyo vinatowa majibu.
Jiwe hakuwa mpenda demokrasia,Lissu anaanza kuvaa vema viatu vya Dr. SLAA na Magufuli kwa mbaaaali sasa naanza kuona Lissu Mpya
Main stream media hazitangazi zinachagua vile negative tu.Nini kinafanya hoja za wapinzani zisitikise nchi? Watu wameshawazoea kwamba ni wa hivyo hivyo tu?