Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mwacheni Tundu asemeHakuna uchaguzi usiokuwa na rushwa. Hata wa umonita tu watoto wanajribu kuhonga. Badala ya kulalamika ahakikishe kuwa chama chake kinachukua hatua thabiti kukabiliana na tatizo. Yeye kama Makamu Mwenyekiti kuendelea kulilalamikia hadharani halisaidii sana. Sana sana linaleta wazo pia kuwa bosi wake ama anahusika au halitilii maanani. Ameishasema, tumemuelewa. Sasa awashuhulikie wala rushwa na watoa rushwa wote katika chama chake.
Amandla...
Ila kwa Mama Abdul tulipigwa aisee 🤣🤣
Basi aseme tu ili mpate vya kurespondTuna respond kwa alichosema.
Amandla
Hujamuelewa GWAMAKA USWEGE alichomaanisha. Sasa kama unashindwa kujuakuwa alichokuwa anakilenga Uswege hapo ni kuwa wapambe wa Mbowe watakuja kumponda Lissu. Utawezaje kuchambua muelekeo wa siasa zet Mkuu?Umeanza vizuri ila umamaliza hovyo sana! Msigwa alipokuwa ananunua kura huku camera zikimnasa hadi kaamua kukimbia, ni wa kilimanjaro yule?
Tayari ameisha sema .Basi aseme tu ili mpate vya kurespond
Hapana, wote sisi ni washindi, maana nchi yetu sote hii. Ila tunawekana sawa kidogo tu!
Wajameni! sasa tufanyeje? Hivi tunanaondokaje hapa? Au ndio meli imetua nanga.View attachment 3064424
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema
"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya mtu yeyote yule ni adui wa demokrasia na ni adui wa haki, kiongozi yeyote anayepatikana kwa kununua wapiga kura huwauza siku ikifika, kwa hiyo nilichokisema Iringa ninakisimamia kama nilivyokisema, kuna tatizo la rushwa linatuvuruga CHADEMA.
Tuangalie sisi wapika kura tuwe macho na wagombea wanaokuja kwa sababu wamenununua kugombea kwao, kwa sababu wamehonga ili wateuliwe wagombea, kwa sababu wamechafua ili waje wapate nafasi za kugombea na kuchaguliwa, Ninasimamia katika kile nilichokisema Iringa na tuwe macho"-
JAMBO TV
Hujamuelewa GWAMAKA USWEGE alichomaanisha. Sasa kama unashindwa kujuakuwa alichokuwa anakilenga Uswege hapo ni kuwa wapambe wa Mbowe watakuja kumponda Lissu. Utawezaje kuchambua muelekeo wa siasa zet Mkuu?
Hilo mbona liko wazi kabisa!Kwahiyo Chadema kura mnauziana? 🐼
Wajameni! sasa tufanyeje? Hivi tunanaondokaje hapa? Au ndio meli imetua nanga.
Hilo mbona liko wazi kabisa!
Kila wanachofanya Lumumba ni lazima na ufipa wafanye?Ila Lumumba siyo?
How else do you get out of it if you don't start with words?It's a rotten system and you can't get out of it by mere words...
This is not unique to Africa, Every part of the world has had its own share of the experience at some point in time.; and not all nations in Africa has the same rot as displayed in Tanzania. And the good part is that, this is only a temporary phase which will be swept away sooner than later!Tupo Africa not Copenhagen
Lakini si angalao wao wana taratibu na vibano vya kuzuia; hapa kwetu ni holela, hakuna sheria hata moja inayobana chochote, na hata ikiwepo ni sawa na kutokuwepo, kwa sababu haitekelezwi.Hata marekani bila ela huwezi kufanya kampeni na wanaokupa ela lazima uje kuwapa Asante ukishinda.
Kwa jicho la pili ni rushwa .
Kanuni ya ubepari .
Kwakweli !Hii nchi bila rushwa madaraka utabidi uyasahau...
It's a rotten system and you can't get out of it by mere words...
Kupambana na rushwa sio jambo LA mchezo.
I wish him well, but he is fighting the battle he can't win....
Tupo Africa not Copenhagen
Wanasemaga even Rome was not built in one day ! 👍🙌How else do you get out of it if you don't start with words?
Yes, it's a rotten system, which is why it needs explaining and finding ways of rectifying it by which ever method available.
This is not unique to Africa, Every part of the world has had its own share of the experience at some point in time.; and not all nations in Africa has the same rot as displayed in Tanzania. And the good part is that, this is only a temporary phase which will be swept away sooner than later!
That’s the point !Rushwa ipo kila mahali Tanzania, vile tu imepewa majina tofauti tofauti...
Ni ajabu kuamini ya kwamba CDM na wapinzani ni wasafi, ila wachafu wa rushwa ni CCM pekee...
Kila wanachofanya Lumumba ni lazima na ufipa wafanye?