Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kusema ukweli ni kubagaza mtu?
 
Ni kiongozi tunayempenda, lazima ajirekebishe ayaondoe hayo mapungufu.

Nilimshangaa alipojaribu kujitoa katika uhusika wa kumleta lowasa chadema akisema yeye na Mnyika walijulishwa dakika za mwisho kabisa, akidai Dkt Slaa ndiye alihusika mchakato mzima.

Ni huyuhuyu Lissu aliyekuja kwenye media 2015 akitetea ujio wa lowasa kwa kudai chama kilikodi taasisi moja kongwe ya nje kufanya utafiti kuona kati ya lowasa na Dr Slaa nani alikuwa na nafasi ya kushinda, walipojiridhisha kuwa lowasa alikuwa na nafasi ya kushinda ndipo wakamchukua.

Wanasiasa wa Tanzania wote ni matapeli, wanatofautiana viwango vya utapeli wao tu.
 
Lissu nilimpigia kura,nilimfanyia kampeni,nilichangia kampeni zake na zaidi ya yote nilisikitika sana walipomtandika risasi nyingi kwasababu ya misimamo yake.

This time siwezi kumpigia kura yangu.
Siwezi kuwashawishi wapiga kura wampgie kura.
Siwezi kuchangia sijui tone tone au aina yoyote ya msaada ambao utamwezesha Lissu kunenepesha tumbo lake kubwa kama gunia la mtama.

Kifupi sana Lissu ni karata mbovu.
 
Hili nalo neno.
 
Kwamba ukiwa makamu wa mwenyekiti una power hiyo usemayo? Ama hujui hivi vyama vinaendeshwaje? Ameweka rekodi sawa ili watu wasilete unafiki usio na tija. Kama alipotosha mengi kuhusu Mbowe, ni juu ya Mbowe kujitokeza kuweka rekodi sawa.
Kwa hiyo unataka kusema Lissu hakuwa na nguvu yeyote ndani ya Chadema? Kwani nani hakumsikia Mbowe akisema No Reform No Elections? Mbowe aliweka rekodi sawa wakati wa kampeni. Amekaa kimya baada ya kushindwa uchaguzi kwa sababu anajua akizungumzia yaliyotokea atakuwa anayapa uhai ambao hauna tija kwa chama chake. Ndivyo inavyotakiwa kuwa.

Amandla...
 
Lissu ni mtu ambaye hawezi kukubali makosa yake, wakati wote atamsingizia mwingine. Hafai kuwa kiongozi.
 
K
Sio muda mrefu atamuomba kwa magoti arudi wajenge chama...

Reference point inayoweza kumpa uhalali kila akizungumza..
Kwani kumshinda kwenye uchaguzi imekuwa ni nongwa kiasi kwamba wameshakuwa maadui. ??!

Ndio maana kumbe na waliopo madarakani wanafanya kila liwezekanalo ili waendelee kubaki madarakani !

Kwahiyo hii sasa Tunasemaga kwa Kipemba “ yayo kwa yayo kama maji ya futi na nyayo “

Hakuna haja ya kuwalaumu wanaong’ang’ania madarakani kumbe ndivyo inavyotakiwa iwe kwa pande zote huko Siasani !

Hakuna mtu kushindwa kwenye uchaguzi mpaka mtu mwenyewe achoke aachie kwa hiari yake !
Duh 🙄! Hii ni Job kweli kweli 😳 !
 
Uchaguzi ni jambo dogo sana,
Na hata kuwa Mwenyekiti wa CDM haimfanyi mtu kuwa wa maana sana katika muktadha wa siasa zetu zilivyo tokea 2020.

Kampeni za uchaguzi wa CDM ni kati ya kampeni za hovyo nilizowahi kushuhudia katika uchaguzi kwenye chama cha siasa chenye wafuasi wengi.. hovyo kabisa.

CDM haipo Copenhagen ukilielewa hili utajua kwanini CCM wanafanya mambo yao kimya kimya.

Ila mimi mtu anaesaliti urafiki siwezi kumuona wa maana hata siku moja.
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?
Uyu alipigwa na kitu kizito sana mpaka sasa hajakaa sawa ,mchukulie alivyo mkuu
 
Ulitaka iweje?
 
Tutashitakiwa MIGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…