Maswa Yetu
Senior Member
- Mar 18, 2023
- 155
- 217
- Thread starter
- #61
Wewe ni muoga sanaYeah naungana na wewe..huu msimamo wa No reform no election wange u review kwa kweli. Utekelezaji wake ni mgumu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni muoga sanaYeah naungana na wewe..huu msimamo wa No reform no election wange u review kwa kweli. Utekelezaji wake ni mgumu sana.
Kusema ukweli ni kubagaza mtu?Sijui kinachoendelea chadema, sina habari kabisa hivyo kuni tag hapa ni kunionea.
Ila to me Lisu is a hopeless guy, power monger, mtu ambaye hana shukrani....ni mtu hatari linapokuja suala la madaraka.
Huyu hafai kabisa...akiwa rais kesho hatoki madarakani... Aliyomfayia Mbowe, mwokozi wa maisha yake...kwanini asiniue mimi ambaye hanijui? Kama amembagaza Mbowe wa kufa na kuzikana, mimi je asiyenijua?
Ndiyo laana inamtafunaYeye mwenyewe si alikua anamuita jiwe hivyo?
Na kweli....Lisu ni shetani wa mashetaniMuosha huoshwa
Ukweli Upi? Uweke na ushahidi , SIYO MANENO TU!Kusema ukweli ni kubagaza mtu?
Hongo la mama AbdulUkweli Upi? Uweke na ushahidi , SIYO MANENO TU!
Ni kiongozi tunayempenda, lazima ajirekebishe ayaondoe hayo mapungufu.Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.
Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.
Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.
Lissu nilimpigia kura,nilimfanyia kampeni,nilichangia kampeni zake na zaidi ya yote nilisikitika sana walipomtandika risasi nyingi kwasababu ya misimamo yake.Sina nongwa kaka,
FAM hakutaka kushinda at all costs, tayar kundi la mtandaoni lilipanga kuendeleza kampeni chafu sana dhidi yake na CDM ..., kushindwa was good for him, not for the party.
Sasaivi wanaonekana pamoja lakini kuna kundi kubwa sana linavizia uchaguzi tu, wakishindwa utasikia milio ya usaliti hapo kuelekea 2030....
Turudi kwenye Nongwa
Mimi ni mtu naamini sana kwenye urafiki, na uaminifu kwenye urafiki, ikibidi kutunziana madhaifu, maneno aliyomzushia yule bwana ili awe Mwenyekiti nimemuondoa kabisa kati ya watu niliokuwa nawaheshimu saana.
Nimekuja gundua his style to rise to power ni kuchafua wengine just for the sake of it.., hata kwa mambo ya uwongo
Nimemuondoa mazima hata akija patana na FAM he will never be my Politician of Interest kwenye siasa za Tanzania.....
Hili nalo neno.Sijui kinachoendelea chadema, sina habari kabisa hivyo kuni tag hapa ni kunionea.
Ila to me Lisu is a hopeless guy, power monger, mtu ambaye hana shukrani....ni mtu hatari linapokuja suala la madaraka.
Huyu hafai kabisa...akiwa rais kesho hatoki madarakani... Aliyomfayia Mbowe, mwokozi wa maisha yake...kwanini asiniue mimi ambaye hanijui? Kama amembagaza Mbowe wa kufa na kuzikana, mimi je asiyenijua?
Kwa hiyo unataka kusema Lissu hakuwa na nguvu yeyote ndani ya Chadema? Kwani nani hakumsikia Mbowe akisema No Reform No Elections? Mbowe aliweka rekodi sawa wakati wa kampeni. Amekaa kimya baada ya kushindwa uchaguzi kwa sababu anajua akizungumzia yaliyotokea atakuwa anayapa uhai ambao hauna tija kwa chama chake. Ndivyo inavyotakiwa kuwa.Kwamba ukiwa makamu wa mwenyekiti una power hiyo usemayo? Ama hujui hivi vyama vinaendeshwaje? Ameweka rekodi sawa ili watu wasilete unafiki usio na tija. Kama alipotosha mengi kuhusu Mbowe, ni juu ya Mbowe kujitokeza kuweka rekodi sawa.
Wewe ndiye unayemiliki ukweli?Kusema ukweli ni kubagaza mtu?
Huko kulamba viatu huwa wanafundishwa wapi?. Au huwa wanazaliwa hivyo?Huyo mlamba viatu wa Mbowe hana lolote
Kwani kumshinda kwenye uchaguzi imekuwa ni nongwa kiasi kwamba wameshakuwa maadui. ??!Sio muda mrefu atamuomba kwa magoti arudi wajenge chama...
Reference point inayoweza kumpa uhalali kila akizungumza..
Uchaguzi ni jambo dogo sana,K
Kwani kumshinda kwenye uchaguzi imekuwa ni nongwa kiasi kwamba wameshakuwa maadui. ??!
Ndio maana kumbe na waliopo madarakani wanafanya kila liwezekanalo ili waendelee kubaki madarakani !
Kwahiyo hii sasa Tunasemaga kwa Kipemba “ yayo kwa yayo kama maji ya futi na nyayo “
Hakuna haja ya kuwalaumu wanaong’ang’ania madarakani kumbe ndivyo inavyotakiwa iwe kwa pande zote huko Siasani !
Hakuna mtu kushindwa kwenye uchaguzi mpaka mtu mwenyewe achoke aachie kwa hiari yake !
Duh 🙄! Hii ni Job kweli kweli 😳 !
Uyu alipigwa na kitu kizito sana mpaka sasa hajakaa sawa ,mchukulie alivyo mkuuNakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?
Ulitaka iweje?Lissu nilimpigia kura,nilimfanyia kampeni,nilichangia kampeni zake na zaidi ya yote nilisikitika sana walipomtandika risasi nyingi kwasababu ya misimamo yake.
This time siwezi kumpigia kura yangu.
Siwezi kuwashawishi wapiga kura wampgie kura.
Siwezi kuchangia sijui tone tone au aina yoyote ya msaada ambao utamwezesha Lissu kunenepesha tumbo lake kubwa kama gunia la mtama.
Kifupi sana Lissu ni karata mbovu.
Maisha haya bila kuwa flexible ataona kama yupo kuzimu tuUyu alipigwa na kitu kizito sana mpaka sasa hajakaa sawa ,mchukulie alivyo mkuu
Tutashitakiwa MIGANi kiongozi tunayempenda, lazima ajirekebishe ayaondoe hayo mapungufu.
Nilimshangaa alipojaribu kujitoa katika uhusika wa kumleta lowasa chadema akisema yeye na Mnyika walijulishwa dakika za mwisho kabisa, akidai Dkt Slaa ndiye alihusika mchakato mzima.
Ni huyuhuyu Lissu aliyekuja kwenye media 2015 akitetea ujio wa lowasa kwa kudai chama kilikodi taasisi moja kongwe ya nje kufanya utafiti kuona kati ya lowasa na Dr Slaa nani alikuwa na nafasi ya kushinda, walipojiridhisha kuwa lowasa alikuwa na nafasi ya kushinda ndipo wakamchukua.
Wanasiasa wa Tanzania wote ni matapeli, wanatofautiana viwango vya utapeli wao tu.