Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Membe ni sehemu ya mfumo wa CCM tangu huko 80's alipoanza kazi kwny 'ofisi ya rais'.

CCM made him/kila kitu Membe alichonacho from Vyeo,Mali,Exposure ni sababu ya hao CCM so hana uwezo wa kuwaponda/wala kuongea chochote kile cha maana.
Membe ni kama Lowasa tu, wote wapo after madaraka na maslahi binafsi kwa 100%
 
Hivi Mbatia ni Ulemavu wa Mguu wa Tatu hausimami kwasababu ya mambo ya kameruni aliyokuwa anafanyiwa kipindi cha nyuma au miguu miwili ilivyozingua miaka kama miwili iliyopita hajapona vizuri?
Haya mashikorobo mageni
 
Na hiko ndo kitu kwa sasa Zitto anapigania yaani anarudi jambo lile lile mana nakumbuka hata 2015 Zitto hakuungana na ukawa badala yake yeye akawsimamisha Rais mama Anna Mgwira
Bora kwa wakati ule cdm walipata faida kidogo, wakati zito alijikuta amebaki peke yake. Leo kitila mkumbo yupo fisiemu
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Rais ajaye tunamtakia safari njrma
 
Ameona utundulisu haulipi?
Si alisema harudi mpaka ahakikishiwe usalama wake, sasa imekuwaje tena? Ndo matatizo ya uropokaji, unafika wakati unakula matapishi yako!
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Kama kuna watu ambao hawana impact kwenye uchaguzi huu wa 2020 ni pamoja na yeye. Hataongeza wala kupunguza chochote.
 
Yaani mtu kurudi kwenye nchi yake anaomba???mbona wana tunatoka na kurudi bila stress na matangazo??
 
Back
Top Bottom