Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Mliopo huko Dar msihangaike sana kutafuta habari za kumkwamisha Tundu lisu cha kufanya ni kuwatafuta Le mutuz na cyprian Musiba kaa nao piga soga kwa wingi wataropoka kila kitu walichopanga juu ya Tundu lisu, mkishindwa mtafuteni mrembo mzuri mlengeshe kwa Le mutuz ni mdhaifu ataongea kila kitu.
 
hapo RPC wa Darisalama LAZIMA azuie mapokezi ya Lisu kwasabb za kiintelijensia!!!.
Cyprian Musiba kasema wamepanga kumkamata kabsa alale jela pamoja na wagonjwa wa corona kisha wasingizie kaja na corona toka ulaya
 
Hapa nauona mgongano wa kimasilahi kati ya chadema na Act wazalendo...

Chadema najua bila shaka Lissu atakua mgombea wao na Nyalandu mgombea mwenza ila sasa ACT watashindwa kusapoti Chadema maana wao wanamtaka Membe na Chadema sidhani kama watamuhitaji Membe.

Matumaini ya hivi vyama kushirikiana hayapo...

Mambo yasiwe Mengi na Mengi yasiwe mambo
Membe ni sehemu ya mfumo wa CCM tangu huko 80's alipoanza kazi kwny 'ofisi ya rais'.

CCM made him/kila kitu Membe alichonacho from Vyeo,Mali,Exposure ni sababu ya hao CCM so hana uwezo wa kuwaponda/wala kuongea chochote kile cha maana.
 
Lissu mawakili/waendesha mashitaka wa serikali wao wenyewe wanauelewa mziki wake mahakamani
Mahakamaccm wamepanga afanyiwe chamber ili kukiwa na ukiukaji wa Sheria watanzania washindwe kupata taarifa, njama za kulala jela na mgonjwa wa corona zimepagwa na boss wake cyprian Musiba.
 
Nawe ungekua Smart ungejua timing ni kila kitu kwny siasa,angekuja mwaka jana mpk sasa hivi hakuna mtu angekua na shauku ya kumsikia tena(ameshazoeleka).
Una uhakika kwa sasa kuna mtu ana shauku ya kumsikia?

Ni kipi ambacho Lisu hajakisema kupitia media akiwa huko huko hadi watu wasubiri kukisikia?

Hii timing anayoifanya Sasa ni mbovu zaidi kuliko angekuja last year akazoeleka!

Ataishia Segerea tu!
 
Tundu Lisu kama anakuja Tanzania ni mara 100 awafungulie kesi wale wote anawaowatuhumu kumshambulia kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague na pia aombe Ulinzi toka UN
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu


​
Nataka nikirudi Dar isimame kakaa!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumbe ni sera ya CCM kuona walemavu hawawezi kupewa nafasi?

Itabidi walemavu nchini wajulishwe namna wanavyofikiriwa na Chama chenu.
Moyo wa mtukufu una betri na pia kiafya ni mlemavu hata mbatia wa NCCR ni mlemavu lakini hawajawahi kuona ulemavu huo
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Good Technik ya kuwaondoa CCM kwenye reli,wao wataanza kupanga mikakati ya kumpiga risasi lissu kwa mara ya pili akitua nchini na kuacha kupambana na chadema wakija kustuka Membe kashaingia UKAWA 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀!!!
 
Moyo wa mtukufu una betri na pia kiafya ni mlemavu hata mbatia wa NCCR ni mlemavu lakini hawajawahi kuona ulemavu huo
Hivi Mbatia ni Ulemavu wa Mguu wa Tatu hausimami kwasababu ya mambo ya kameruni aliyokuwa anafanyiwa kipindi cha nyuma au miguu miwili ilivyozingua miaka kama miwili iliyopita hajapona vizuri?
 
Una uhakika kwa sasa kuna mtu ana shauku ya kumsikia?

Ni kipi ambacho Lisu hajakisema kupitia media akiwa huko huko hadi watu wasubiri kukisikia?

Hii timing anayoifanya Sasa ni mbovu zaidi kuliko angekuja last year akazoeleka!

Ataishia Segerea tu!

Wewe unadhani Alivyokua Magu 2016 anang'aa kila mtu anamsikiliza mpk upinzani ukawa kama umekufa unaweza kumlinganisha na Magu wa 2020.

Kwani ni kitu gani ambacho Magu hajakisema ambacho wananchi hawakijui/watataka kukisikia?SGR/Stigler's/Utumbuaji Wafanyakazi hewa/barabara/Atcl au ni kitu gani hicho?
 
Chadema kwenye procedures na organization wako zero pamoja na kujitia ohh Wana wanasheria nguli Koko Kama Tundu lisu Ina maana hata Tundu Lisu na uanasheria wake Koko hakujua kuwa kuomba kugombea Uraisi Chadema unatakiwa uchukue form yeye aliibuka Tena hadi mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ohh nimeandika barua kamati kuu ya kuomba kugombea uraisi kupitia Chadema!!!! Mwanasheria asiyejua hata taratibu za chama chake za kugombea uraisi Tena Makamu mwenyekiti Chadema taifa Halafu kichwani yuko zero hajui taratibu za chama aiseeerr!!! Very interesting

Ninapoona mtu anaandika masentesi marefu bila kuweka koma au nukta, huwa najua ni kilaza aliyepanick.
 
Hivi Mbatia ni Ulemavu wa Mguu wa Tatu hausimami kwasababu ya mambo ya kameruni aliyokuwa anafanyiwa kipindi cha nyuma au miguu miwili ilivyozingua miaka kama miwili iliyopita hajapona vizuri?
Hahah sijui ni ile tabia yake ya kuongea amebinua midomo juu ndo ilifanya wananzengo wakajua huyu mzee min-kabang ni kushnei,hahah.
 
Taarifa mbaya sana hizi kwa MATAGA wa ccm! maana huyu ndiye kiumbe pekee aliyeweza kum challenge Magufuli hadharani kiasi cha kushambuliwa mchana kweupe kule Dodoma na watu 'wasiojulikana'

Kwa mbali anafuatiwa na Zitto.

Tapeli tu huyo, kipindi kile aliwaaminisha nyumbu kuwa haogopi na akimaliza matibabu tu anarudi tz, nyumbu mkaimba weee kwa milio yote ya pori, daika ya mwisho akabadili eti anaogopa kuuwawa wakati mwanzo alisema haogopi, na atakae mgusa ataona cha moto.

Alipobadili gia napo nyumbu mkaimbaa saana eti ni bora abaki huko kwani maisha ni muhimu kuliko jambo lolote.
Leo mnasema atakuja kupambana, je keshapewa ulinzi aliokuwa anadai au atakuja na mabeberu?
Tumieni akiri nyie nyumbuzi mito bado ina mamba.
 
Una uhakika kwa sasa kuna mtu ana shauku ya kumsikia?

Ni kipi ambacho Lisu hajakisema kupitia media akiwa huko huko hadi watu wasubiri kukisikia?

Hii timing anayoifanya Sasa ni mbovu zaidi kuliko angekuja last year akazoeleka!

Ataishia Segerea tu!

Kumtupa segerea pekee yake ndio salama ya jiwe, na genge lake la ccm. Hiyo ya kumfunga kwa kesi za kubumba , ndio njia pekee iliyobaki ya kukibeba chama kichovu cha ccm.
 
Wewe unadhani Alivyokua Magu 2016 anang'aa kila mtu anamsikiliza mpk upinzani ukawa kama umekufa unaweza kumlinganisha na Magu wa 2020.

Kwani ni kitu gani ambacho Magu hajakisema ambacho wananchi hawakijui/watataka kukisikia?SGR/Stigler's/Utumbuaji Wafanyakazi hewa/barabara/Atcl au ni kitu gani hicho?
Unafikiri kuna mtu anasubiri hata kusikia Magu ataongea nini 2020?

Hata kwa Lisu, kusema watu wanasubiri kumsikia akija kwa kuwa alikuwa nje hakuna mashiko kwa maana yote kayaongea kupitia media akiwa hukohuko.(keshazoeleka)

Kama angekuwa kimya muda wote huko na asingekuwa na kesi inayoelekea kutolewa hati ya kukamatwa, timing yake ingekuwa na impact siyo ilivyo sasa!
 
Back
Top Bottom