Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Wabaya wa Lissu wapo ndani ya chama awe makini wakati anashuka dar wanaweza kujipenyeza wakamdhuru
Ww hutakiwi kuwepo kwenye mapokezi yake, ww panga tu lile kundi lenu la watu wasiojulikana mtasimama wapi. Tunaomba usiwepo kwenye mapokezi maana utamuwekea nuksi.
 
Aje tuu ashuhudie CHADEMA wanavyompitisha MEMBE kua mgombea wao.
 
Tangu mwaka 2015 adui wa Tanzania ni

1.Chadema
2.Ujinga
3.Maradhi
4.Umasikini

Lisu njoo utuambia ,je tumeshitakiwa MIGA? useme pia kati ya Lisu na Magufuli, billionea mpya Lizer amchague nani?
 
Back
Top Bottom