Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Kama Lissu atarejea kweli, Ninaishauri serikali impe nafasi na iwaruhusu mashabiki wake wampokee kwa bashasha kama wapendavyo na kama kutakuwepo maandamano basi wapewe ulinzi wa polisi ili yawe ya amani.

Kufanya hivyo kutawapa wananchi nafasi ya kucheua na kupunguza msukumo kwenye nafsi zao.
Ni jambo la muhimu serikali kujua kwamba pamoja na maendeleo wanayojitapa kuyafanya, wananchi kama binadamu yeyoyte wanahitaji pia uhuru na furahi ya hisia zao.
Ukiziba eneo hilo, hata uwape mali kiasi gani bado watakuchukia na kukuona huna thamani kwao.
Mfano mzuri Ghaddafi wa Libya na wananchi wake.
 
Mahakama ya CCM hapo udenda unawatoka,SASA wapo nanjama nivipi watamkamata
Kuanzia SASA Lumumba hawata lala tena
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu

​
Naimana chadema wengi mnajua sheria hata tundulisu mwenyewe so nilikua naomba ufafanuz wa hili jambo kwa Nia nzur tu

Ivi mtu ambae ana kesi maakaman akadhidisha muda wa dhamana na wadhamin wake kuomba kujitoa kwenye kesi yake. Je kwa mujibu wa sheria Mahakama itanfanya Nini Tundulisu na pia iv mahakama itakua imekosea?

Mnisaidie wadau
 
Na yale magongo nani ampe Kura. Bavicha mtapata tabu sana awamu hii.

Usikute na huyo unayemfagilia ni afya mgogoro tu na hana tofauti yoyote ile na maiti inayotembea! Mungu ni wa ajabu sana!

Rais wa Marekani Franklin Delano Roosevelt, wakati wa msukosuko mkubwa wa kiuchumi kwenye ile miaka ya 1930's, alishinda uchaguzi kirahisi tu kitoka kwa Rais Mhafidhina wa chama cha Republican huku akiwa anatumia Wheelchair!

Wananchi wakitokea kuuchoka mfumo wa kiutawala, wanaweza kumuunga mkono kichaa!! Usiombee hali hiyo itokee nchini! Mtakimbiana enyi Maccm!
 
Kuna uwezekano hata huo mkutano mkuu asihudhurie!

Wadhamini wake wameshaiomba mahakama itoe hati ya kumkamata.

Kama Victoire Ingabire vile,siku anatua tu Segerea hii hapa!

Angekuwa smart angesharudi toka mwaka jana ku-clear hivi vikesi tofauti na ilivyo sasa!
 
Usikute na huyo unayemfagilia ni afya mgogoro tu na hana tofauti yoyote ile na maiti inayotembea! Mungu ni wa ajabu sana!

Rais wa Marekani Franklin Delano Roosevelt, wakati wa msukosuko mkubwa wa kiuchumi kwenye ile miaka ya 1930's, alishinda uchaguzi kirahisi tu kitoka kwa Rais Mhafidhina wa chama cha Republican huku akiwa anatumia Wheelchair!

Wananchi wakitokea kuuchoka mfumo wa kiutawala, wanaweza kumuunga mkono kichaa!! Usiombee hali hiyo itokee nchini! Mtakimbiana enyi Maccm!

Huyo Lissu mtapitisha kama mgombea ama mna mhadaa babu wa watu aje alale lockup maana ana kesi nyingi za kujibu.
 
Mimi binafsi ninamuunga tu mkono Mh. Lissu kutokana na harakati zake na kwa namna alivyo pambana na Magufuli bila hofu ya aina yoyote ile kabla ya kushambuliwa. Mambo ya kumpitisha kuwa mgombea, ni masuala ya ndani ya chama chake. Mimi si sehemu ya hicho chama.

Kuhusu kulala lock up, hizo ni mbwembwe tu za policcm ili wajikoshe kwa bwana wao! Ninachofahamu, kesi zake si za mauaji! Ni zile za kutaka tu kumnyamazisha. Zina dhamana na uzuri atarudi nchini akiwa na uthibitisho wa vyeti vya kimatibabu vya matatizo yake.

Usisahau pia Tundu Lissu ni Wakili na Mwanasheria wa kiwango cha Kimataifa! Hivyo sidhani kama kuna wa kumbabaisha siku ya kutinga huko mahakamani.
 
Yesu wa Lugola atatafuta dawa za kutuliza maumivu akiiona habari hii
 
Naimana chadema wengi mnajua sheria hata tundulisu mwenyewe so nilikua naomba ufafanuz wa hili jambo kwa Nia nzur tu

Ivi mtu ambae ana kesi maakaman akadhidisha muda wa dhamana na wadhamin wake kuomba kujitoa kwenye kesi yake. Je kwa mujibu wa sheria Mahakama itanfanya Nini Tundulisu na pia iv mahakama itakua imekosea?

Mnisaidie wadau
Mimi sijui, lakini kwani Lissu ni mtoro ?!. Hao majaji kama hawajui kwanini Lissu yupo nje ya nchi , basi sheria zetu zina kasoro kubwa
 
Hapa nauona mgongano wa kimasilahi kati ya chadema na Act wazalendo...

Chadema najua bila shaka Lissu atakua mgombea wao na Nyalandu mgombea mwenza ila sasa ACT watashindwa kusapoti Chadema maana wao wanamtaka Membe na Chadema sidhani kama watamuhitaji Membe.

Matumaini ya hivi vyama kushirikiana hayapo...

Mambo yasiwe Mengi na Mengi yasiwe mambo
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Karibu mfalme!
Karibu nyumbani rais mtarajiwa, Tanzania inakutegemea katika ukombozi
 
Ndio anataka dar isimame akija? tuache kwenda kujitafutia riziki tumsubiri mwana wa Mabeberu [emoji28]
Ulalamishi mwingine ni viashiria vya kuwa mchawi/mlozi. Kama waona hakuhusu si ukaendelee na shughuli zako ndg.
 
Back
Top Bottom