Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Mabeberu wale waliosema mmeingia uchumi wa kati ya mapaja?Ndio anataka dar isimame akija? tuache kwenda kujitafutia riziki tumsubiri mwana wa Mabeberu [emoji28]
Mabeberu wale waliosema mmeingia uchumi wa kati ya mapaja?Ndio anataka dar isimame akija? tuache kwenda kujitafutia riziki tumsubiri mwana wa Mabeberu [emoji28]
Dar lazima isimame, ipende isipende
John Pumba Maharage anaelewa zaidi,muulizeNaimana chadema wengi mnajua sheria hata tundulisu mwenyewe so nilikua naomba ufafanuz wa hili jambo kwa Nia nzur tu
Ivi mtu ambae ana kesi maakaman akadhidisha muda wa dhamana na wadhamin wake kuomba kujitoa kwenye kesi yake. Je kwa mujibu wa sheria Mahakama itanfanya Nini Tundulisu na pia iv mahakama itakua imekosea?
Mnisaidie wadau
Akaribu sana nchini mwake mumpitishe kule terminal 3 mpya na pale tazara barabara ya juu mwonyesheni na rell ya tren ya mwendo kasi alafu mleteni na ubungo flyover nyoosheni aone utengenezaji wa barabara 6 kianzia kimara hadi chalinze msisahau kumpelea kule sitigilazi geji inakotengenezwa alafu mkirudi mkapige pige nae picha pale daraja la salenda ( angalieni asipotee )kisha muulizeni ana la kusema?alafu ndio mkampumzishe kwanza akusanye nguvu kidogo ya kupiga kampeni ili asije kudondoka jukwani kwa kukosa nguvu maana saa hivi kijeshi tunasemaga ni unfit.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Si ana kesi mahakamani huyu. Akishuka tu airport wanamdaka.
Amekosa binadamu Sasa ameanza mbuzi! Uzinzi ni jadi yenu chadema.Mbuzi jike wote wa ccm lazima Lisu awatungishe mimba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani shida iko wapi mbona mnaacha shughuli zenu za kujitafutia rizki mnaenda kushangaa nakupokea ndege??Ndio anataka dar isimame akija? tuache kwenda kujitafutia riziki tumsubiri mwana wa Mabeberu [emoji28]
MATAGA hivi kwanini hamjui kuandika kiswahili fasaha?Labda isimamishe maana kutakuwa na alufu ya USHOGA!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani shida iko wapi mbona mnaacha shughuli zenu za kujitafutia rizki mnaenda kushangaa nakupokea ndege??
Si ana kesi mahakamani huyu. Akishuka tu airport wanamdaka.
Time will tell but not nowTime will tell.
Mh. Tundu Lisu, unakuja kwenye makucha ya Simba. Kwangu mimi nakushauri usije kama kuna International Security assurance or anything of that nature ( sijui kama ipo anyway). Short of that sioni your precious life to be in safe custody. Ujue unakuja kwenye makucha ya Idd Amin, alimuua hata Askofu Mkuu wa Anglican Church Janan Luwum
Anayekushauri anakushauri si vema