Cha kwanza atakachokutana nacho ni harufu mbaya ya uchafu wa mji wa Dar.Akaribu sana nchini mwake mumpitishe kule terminal 3 mpya na pale tazara barabara ya juu mwonyesheni na rell ya tren ya mwendo kasi alafu mleteni na ubungo flyover nyoosheni aone utengenezaji wa barabara 6 kianzia kimara hadi chalinze msisahau kumpelea kule sitigilazi geji inakotengenezwa alafu mkirudi mkapige pige nae picha pale daraja la salenda ( angalieni asipotee )kisha muulizeni ana la kusema?alafu ndio mkampumzishe kwanza akusanye nguvu kidogo ya kupiga kampeni ili asije kudondoka jukwani kwa kukosa nguvu maana saa hivi kijeshi tunasemaga ni unfit.
Halafu atashangaa kuona watu wamekonda na kuchoka sana. Pia ataona barabara zimejaa bidhaa mbalimbali mpaka sehemu ya kupita hakuna.
Kiujumla ukitoka ulaya halafu ukafika airport Dar unatamani urudi na ndege iliyokuleta.