Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Kumtupa segerea pekee yake ndio salama ya jiwe, na genge lake la ccm. Hiyo ya kumfunga kwa kesi za kubumba , ndio njia pekee iliyobaki ya kukibeba chama kichovu cha ccm.
Mheshimiwa,

Hata ikitokea Lisu asiende Segerea,kushinda uchaguzi huu ni zaidi ya ndoto.

Kinachoibeba CCM miaka yote kinajulikana na wala si jela.
 
Mheshimiwa,

Hata ikitokea Lisu asiende Segerea,kushinda uchaguzi huu ni zaidi ya ndoto.

Kinachoibeba CCM miaka yote kinajulikana na wala si jela.

Katika ushindani kuna kushinda na kushindwa, sina tatizo na yeye kushindwa kihalali. Tatizo la ccm sio kushinda, bali tatizo lao kukubali Magufuli ashindane na mtu kama Lissu. Hapo ndio mbeleko ya segerea itakapotumika.
 
Unafikiri kuna mtu anasubiri hata kusikia Magu ataongea nini 2020?

Hata kwa Lisu, kusema watu wanasubiri kumsikia akija kwa kuwa alikuwa nje hakuna mashiko kwa maana yote kayaongea kupitia media akiwa hukohuko.(keshazoeleka)

Kama angekuwa kimya muda wote huko na asingekuwa na kesi inayoelekea kutolewa hati ya kukamatwa, timing yake ingekuwa na impact siyo ilivyo sasa!

Magu hamna mtu anasubiri kumsikia atasemaje maana yeye ni alfa na omega mpk wakina Lugola walimpa kile cheo kikuu.

Whether angekuja Leo au mwaka juzi issue ya kukamatwa iko pale pale na wala haina mjadala.
 
#TunduLissu akirudi sura ya siasa za Tanzania itabadilika moja kwa moja. Kutakuwepo na sontofahamu na viwewe vya kutosha.
 
Chakwera wa Tanzania, njoo Tundu Lissu tumekusubuli sana. Na Mungu amekupa uhai ili liwe fundisho kwa wauwaji.

Wauwaji wako ni hawa;-
1. Waliokutoa ubunge
2. Waliokunyima pesa ya matibabu
3. Waliokataa kufanya uchunguzi wa kutafuta waliokupiga risasi
4. Waliotoa camera kwenye majengo mnayokaa
5. Tumewajua kuwa ni wale wote wanaosema chadema itakufa kabla ya 2020
6. Wauwaji ni wale wote wanaotoa maneno ya kukejeli kilichokupata
7. Waliokataliwa kusafiri kwenda america

Hao ndio waliotaka kukuuwa lakini mungu anakupenda sana kakupa uhai kimaajabu

Wewe umekuwa kama nabii Daniel aliyewekwa kwenye shimo la simba wenye njaa ili aliwe lakini mungu akamuokoa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241][emoji1241][emoji1241] Muda utaongea chadema kwa kuingia mitin mkiona virungu
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu


Wewe ota tu
 
Kwa uchaguzi huu ujao na bunge halipo, the boat has sailed.
 
Alishaibariki, ikakengeuka 2015 na kuanza kuwa mtetezi wa MAFISADI na MAJIZI ya nchi. Ikazalisha wazee wa MIGA, LOCKDOWN na FARU JOHN
Mbona ufisadi upo sasa CCM ya sasa ina wizi kuliko CCM zote pesa trilion 1.5 imepigwa kwenye utawala huu huu ndipo wakamtoa kafara CAG kuficha Aibu zao, Ndungai katafuna bilion 12 peke yake akiwa India, 10% ununuzi wa Ndege,Ujenzi chato Airport, Reli, bwawa la umeme
 
Natumaini amejiandaa vyema.

Kama ni ushauri: atulie, asibabaishwe na chochote; aonyeshe anao utulivu wa kuwa kiongozi wa nchi mwenye busara.

Ajue kwamba hapambani na Magufuli, Magufuli atpambana na rekodi yake mwenyewe na aliyokwishafanya au kutoyafanya ambayo yanafahamika vizuri na wananchi wote.

Aielewe vyema ajenda ya chama chake, na akubaliane na wenzake kwamba ajenda hiyo ni ajenda ya waTanzania wote; ni ajenda ya kulijenga taifa lenye heshima mbele ya mataifa mengine yote.

Kuna vitu vinatia shida sana huko CHADEMA, awe mwangalifu sana navyo. Sasa hivi sitavitaja.

Ni muhimu awaonyeshe waTanzania kwamba 'he is presidential material' na sio mtu wa kuropokaropoka tu kwa lolote linalomjia kichwani.

Mengine yote awaachie waTanzania, watayashughulikia kwa niaba yake. Yeye atatakiwa kuonyesha njia tu.
Vinavyotia shida Chadema kama vipo usivifiche , viweke wazi vitatuliwe , japo unaweza kuona kuna shida chadema kumbe labda hujaelewa tu yanayoendelea , chadema inabeba kila zuri kutoka kwa yeyote yule .

Ofisi ya Katibu Mkuu inakaribisha maoni ya kujenga
 
Mbona ufisadi upo sasa CCM ya sasa ina wizi kuliko CCM zote pesa trilion 1.5 imepigwa kwenye utawala huu huu ndipo wakamtoa kafara CAG kuficha Aibu zao, Ndungai katafuna bilion 12 peke yake akiwa India, 10% ununuzi wa Ndege,Ujenzi chato Airport, Reli, bwawa la umeme
Aiseeee !!
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Huyu advocacy officer huko ubeleshi anacheza na akili.za tanapa
Ameshatoa tarehe zaidi ya tano,halafu anakaa kimya hawaelezi sababu ya kughairi
Dhambi ya usaliti wa nchi itamtafuna mpaka kaburini
 
Huyu advocacy officer huko ubeleshi anacheza na akili.za tanapa
Ameshatoa tarehe zaidi ya tano,halafu anakaa kimya hawaelezi sababu ya kughairi
Dhambi ya usaliti wa nchi itamtafuna mpaka kaburini
Kunywa maji upunguze jazba mkuu.usiyempenda kaja
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Huyu jamaa ataozea mahabusu.
Regime ina hasira naye sanaa
 
Back
Top Bottom