KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Tume Huru ya Uchaguzi? Matumaini bado yapo saa hii ya lala salama?Tunamuombea arudi, na huyo ndio mgombea wetu wa cdm. Liwake jua inyeshe mvua. Akija aongoze umma kudai tume huru ya uchaguzi.
Tume Huru ya Uchaguzi? Matumaini bado yapo saa hii ya lala salama?Tunamuombea arudi, na huyo ndio mgombea wetu wa cdm. Liwake jua inyeshe mvua. Akija aongoze umma kudai tume huru ya uchaguzi.
Huyu haji. Aibu kesi ya kushambuliwa kwake kuwa ulikuwa ni mpango alioupanga akitarajia kuwa hataumia itamuumbua sana. Hata akiendelea kumficha dereva wake haitasaidia. Ataumbuka mwisho naye anajua hilo. Haji.
Hakuna uoga tena kwa sasaI think it is unnecessary kutangaza tarehe ya kurejea halafu siku ikifika, vinakuja visingizio lukuki kwamba ameshindwa kurejea sababu ya hivi na hivi.
TL aliwahi kusema hawezi kurudi hadi apate uhakika wa usalama wake kutoka kwa Rais, je anaposema atarudi trh 27 ni ishara kwamba Mhe Rais amemkubalia kumpa ulinzi wa kutosha ?
Tume Huru ya Uchaguzi? Matumaini bado yapo saa hii ya lala salama?
Kwa hio mhe Lisu alikuwa muoga hapo kabla ?Hakuna uoga tena kwa sasa
Vp Kama Mr. Konyagi kubwa akiamua vinginevyo?Tunamuombea arudi, na huyo ndio mgombea wetu wa cdm. Liwake jua inyeshe mvua. Akija aongoze umma kudai tume huru ya uchaguzi.
MkuuYapo sana, madai halali hayana muda maalum. Kinachotakiwa ni kelele ya kutosha. Watu wote wanaozuia haki wakisikia kelele, huwa wanapoteza utulivu.
Membe foe president....Tunamuombea arudi, na huyo ndio mgombea wetu wa cdm. Liwake jua inyeshe mvua. Akija aongoze umma kudai tume huru ya uchaguzi.
Hizi kelele zitatoka wapi wakati huu na zitaanza vipi?Yapo sana, madai halali hayana muda maalum. Kinachotakiwa ni kelele ya kutosha. Watu wote wanaozuia haki wakisikia kelele, huwa wanapoteza utulivu.
Ramli? Itabidi mfumbe macho ili kujificha 'msimuone'.Huyu haji. Aibu kesi ya kushambuliwa kwake kuwa ulikuwa ni mpango alioupanga akitarajia kuwa hataumia itamuumbua sana. Hata akiendelea kumficha dereva wake haitasaidia. Ataumbuka mwisho naye anajua hilo. Haji.
Vp Kama Mr. Konyagi kubwa akiamua vinginevyo?
Una haraka ya kwenda wapi ?Membe foe president....
"Ni fedheha sana kudai umefanya kitu wakati huwezi kutetea yale unayodai kuyafanya..."Magufuli anategemea mbeleko ya tume kwa asilimia 70 na polisi kwa asilimia 20. Ni fedheha sana kudai umefanya kitu wakati huwezi kutetea yale unayodai kuyafanya hadi ufanye uhuni kwenye uchaguzi. Bure sana.
Hizi kelele zitatoka wapi wakati huu na zitaanza vipi?
Kuna dalili zozote zinazoonyesha mwelekeo wa huko?
Nimefurahishwa na hii taarifa
IkuluUna haraka ya kwenda wapi ?
Sio msahaulifu. Hii nayo nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu.Zipo sana, ngoja kampeni utaziona.