Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Let him come.By the,he has nothing to offer,if he stands for presidency,he will be defeated. T2020JPM mpango mzima
 
Tunamuombea arudi, na huyo ndio mgombea wetu wa cdm. Liwake jua inyeshe mvua. Akija aongoze umma kudai tume huru ya uchaguzi.
Naomba ufafanuzi mkuu:

Endapo atawasili na kuwekwa korokoroni/ kizuizini kwa uchunguzi wa kesi yake kwa zaidi ya mwezi, je bado atakuwa na sifa ya kugombea?
 
Tunamuombea arudi, na huyo ndio mgombea wetu wa cdm. Liwake jua inyeshe mvua. Akija aongoze umma kudai tume huru ya uchaguzi.
Mkuu Mnaka kumpindua mtukufu mbowe?
JamiiForums-726394381.jpg


Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nina wasiwasi kama una kichwa kabisa. Mwenye akili timamu hawezi jifariji namna hii?

Kwamba tundu lissu ashindane na Magufuli? Kwa yapi aliyoyafanya tundu lissu ya kumshindanisha na Magufuli?

Magufuli ni rais wa karne.

Twende na Magufuli 2020.
Bora arudi, mgombea wa CCM ajiandae kisaikolojia maana amezoea kuongea kwa kuropoka bila kushirikisha ubongo!

Tundulisu atamgalagaza mapemaa, labda mgombea wa CCM aendelee kutumia hoja zenye risasi za SMG!
 
Chakwera wa Tanzania, njoo Tundu Lissu tumekusubuli sana. Na Mungu amekupa uhai ili liwe fundisho kwa wauwaji.

Wauwaji wako ni hawa;-
1. Waliokutoa ubunge
2. Waliokunyima pesa ya matibabu
3. Waliokataa kufanya uchunguzi wa kutafuta waliokupiga risasi
4. Waliotoa camera kwenye majengo mnayokaa
5. Tumewajua kuwa ni wale wote wanaosema chadema itakufa kabla ya 2020
6. Wauwaji ni wale wote wanaotoa maneno ya kukejeli kilichokupata
7. Waliokataliwa kusafiri kwenda america

Hao ndio waliotaka kukuuwa lakini mungu anakupenda sana kakupa uhai kimaajabu

Wewe umekuwa kama nabii Daniel aliyewekwa kwenye shimo la simba wenye njaa ili aliwe lakini mungu akamuokoa.
 
Yaani swala anataka kuingia kwenye himaya ya simba.
 
Naomba ufafanuzi mkuu:

Endapo atawasili na kuwekwa korokoroni/ kizuizini kwa uchunguzi wa kesi yake kwa zaidi ya mwezi, je bado atakuwa na sifa ya kugombea?

Tutampigia kura hata akiwa jela.
 
Nimefurahishwa na hii taarifa
Huyu haji. Aibu kesi ya kushambuliwa kwake kuwa ulikuwa ni mpango alioupanga akitarajia kuwa hataumia itamuumbua sana. Hata akiendelea kumficha dereva wake haitasaidia. Ataumbuka mwisho naye anajua hilo. Haji.
 
Mi nasikitika serikali ya ccm ilivyowaweka wale masheikh wa Zanzibar rumande bila case kisa imani yao ya Islamic! Ccm tuogope kama ukoma
 
Back
Top Bottom