Membe ni kama Lowasa tu, wote wapo after madaraka na maslahi binafsi kwa 100%Membe ni sehemu ya mfumo wa CCM tangu huko 80's alipoanza kazi kwny 'ofisi ya rais'.
CCM made him/kila kitu Membe alichonacho from Vyeo,Mali,Exposure ni sababu ya hao CCM so hana uwezo wa kuwaponda/wala kuongea chochote kile cha maana.
Haya mashikorobo mageniHivi Mbatia ni Ulemavu wa Mguu wa Tatu hausimami kwasababu ya mambo ya kameruni aliyokuwa anafanyiwa kipindi cha nyuma au miguu miwili ilivyozingua miaka kama miwili iliyopita hajapona vizuri?
Bwashee mambo mazito hayaHahah sijui ni ile tabia yake ya kuongea amebinua midomo juu ndo ilifanya wananzengo wakajua huyu mzee min-kabang ni kushnei,hahah.
Ukini quote uwe unaandika vitu vya msingi.Sio faida na tume huru Sema hawana faida na siasa zenu
Hahah mambo ni mengi hapa mjini Meku.Bwashee mambo mazito haya
Hahah daah noma sana.Ukini quote uwe unaandika vitu vya msingi.
Bora kwa wakati ule cdm walipata faida kidogo, wakati zito alijikuta amebaki peke yake. Leo kitila mkumbo yupo fisiemuNa hiko ndo kitu kwa sasa Zitto anapigania yaani anarudi jambo lile lile mana nakumbuka hata 2015 Zitto hakuungana na ukawa badala yake yeye akawsimamisha Rais mama Anna Mgwira
Ujumbe umekufikia Lakin [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukini quote uwe unaandika vitu vya msingi.
BadoUjumbe umekufikia Lakin [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rais ajaye tunamtakia safari njrmaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Nani kamtaja Magu?Magu ni katili kiasi hicho ?
Kama kuna watu ambao hawana impact kwenye uchaguzi huu wa 2020 ni pamoja na yeye. Hataongeza wala kupunguza chochote.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Nani kasema ametajwa Magu ?Nani kamtaja Magu?