Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Pombe viwanda vimemshinda wala huwezi kusikia anavisema Tena
 
Tuliwaambia mnaleta picha za 2015 mlizochakachua ambazo sura hazionekani sasa naona kitengo cha uchakachuaji kimekuja na staili mpya ya kuweka picha zinazoonyesha visogo tu mpeni hongera huyo mtaalamu wa kitengo cha uchakachuaji picha cha Chadema kavipanga visogo vya 2015 mwanzo hadi mwisho akaviita vya mkutano wa mbalizi leo

 
Kichwani umebebelea mavi wala siyo ubongo huo!
 
Safari hii kuna watu wamepanic...
Mkuu, ulikuwa kimya muda mrefu sana...! Au ulihama jukwaa nini? Vipi, kuna mtani wangu mwingine anaitwa 'Nicholaus', naye sijui kapotelea wapi.
====
Nikirudi kwenye mada.
Asisahau kuzungumzia tena na tena FAO LA KUJITOA, ....
TUJITEGEMEE
Mkuu Rustem Pasha, asante sana kwa kunijuza kuwa leo Molemo atakuwa laivu kutoka Songwe akituleta habari za mgombea urais wa Chama cha Mbowe (CcM). Kuhusu suala la fao la kujitoa, ni jambo muhimu kulizungumzia...lakini kwa mtu muelewa kabisa kabisa ataona ni 'absurd' kuzungumzia 'fao' tu wakati kwa kutokujua ama kwa kukosa mikakati inayoeleweka unaacha kuzungumzia njia bora za kutunisha mfuko unaohifadhi 'fao'!!

Unashangaa ! Mkuu usitoe macho!

Iko hivi, ni kwa kuwezesha mifuko hii kutuna ndipo itakuwa na uwezo wa kujiendesha na kuwafaidisha wale wote wanaohifadhi 'fao' lao humo. Njia ya kwanza na muhimu ni kuhakikisha mifuko hii inaongeza idadi ya wanachama wa kuhifadhi humo 'mafao' yao. Kwa lugha nyepesi, ni kuongeza ajira kwa wananchi katika sekta za umma na sekta za binafsi. Ajira hizi ndizo zitakuwa kichocheo chakutunisha mifuko, na mifuko hiyo sasa itaweza kuwekeza kwenye maeneo yenye faida kubwa kwa sababu mifuko itakuwa na mitaji mikubwa. Mkuu, 'sane people', wanawaza namna hii.

Sasa kazi ya mgombea urais kupitia Chama cha Mbowe ilikuwa ni kujikita kwenye kufafanua kwa wananchi ni namna gani chama cha mwenyekiti wake kupitia ilani yake kitawezesha kuongeza ajira lukuki, ajira ambazo zitasaidia kupata ongozeko la 'fao' na kisha kutunisha mifuko ya hifadhi ya jamii. Baada ya hapo sasa Mifuko ina kuwa na uwezo mkubwa wa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa kwa wananchama wake.

Sasa, kama mgombea wa Chama cha Mbowe, mnamdanganya kuwa ajikite kwenye 'mipasho' ya hakina " Hamsemi Yakaisha" basi hapo msimlaumu mtu baada ya 28/10/2020 mkiambiwa kapata kura karibu ya 0.01%. Mkuu, mwelekezeni, mgombea wa Chama cha Mbowe aachane na misele ya akina Rahma Machupa!!! Nadhani utakuwa umenielewa.
Hii anatakiwa aifanye iwe agenda ya kila siku! Mataga tumewashika vibaya!!
Asante Mkuu kwa kunukuu hoja ya Rustem Pasha yenye JF ID yangu. Mkuu, nikueleze kitu kimoja tu kuwa Ukiona mwananchi yupo radhi kutamka kuwa si lazima Tanzania iwepo siku za usoni, ujue huyo mwananchi haitakii mema Tanzania na watanzania wake, na yupo tayari kuwauza watanzania ikibidi hata kwa mafungu. Muogope sana mtu huyo. Mwananchi mmoja anaitwa Lissu ameyatamka maneno yanayofanana na ya 'mwananchi ambaye yupo radhi kuona tanzania inapotea'. Akili kumkichwa, ndugu yangu...ha ha haaa! Mtani tutaelewana tu. ha ha aaaa! Rejea jibu langu kwa Rustem Pasha.
 
Mwaka huu mtanyooka tu! Kura haziibiwi kiboya mwaka huu!
 
H ah haaah ahaaa ! Mkuu, hii kwa wanamasumbwi wanaita 'upper cut'....! Ngumi ya chembe hii! h a ha haaa! Sidhani kama hawa 'watani' watanyanyuka! h aha haaa!
 
Acha ujinga Sikiliza clip yangu niliyorekodi hapa uwanjani iko juu kwenye maelezo yangu
 
Spna zinaendelea. Piga Lissu baba piga kabisa.
 
Wafanyakazi wa Serikali kwa awamu hii wamefutiwa fao la kujitoa na pia hawakupandishiwa mishahara, CCM hapa ina kazi ya kuwajibu Wafanyakazi ili kuwarejeshea matumaini!
Na kamwe hawatapa a
majibu
 
Ni hatari sana mtu kuwa masikini wa pesa na akili
 
 
Mheshimiwa rais mtarajiwa Tundu Lissu rejesha fao la kujitoa baba. Namchukia sana aliyefuta fao la kujitoa, huyo ni jambazi muuaji.
Hii issue huwa inaniuma sana. Hela zangu halafu nanyimwa eti mpaka nifikishe 55yrs! Kuna mtu namchukia sana, kila siku namwombea afe kabla yangu ili nikalikojolee kaburi lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…