Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Hii issue huwa inaniuma sana. Hela zangu halafu nanyimwa eti mpaka nifikishe 55yrs! Kuna mtu namchukia sana, kila siku namwombea afe kabla yangu ili nikalikojolee kaburi lake.
Mkuu inatia hasira mno. Hela yako mwenyewe huruhusiwi kuitumia. Yani wapo tayari uadhirike na shida wakati hela yako ipo. Huyu jamaa huyu katukosea sana watanzania.
 
16 September 2020
Mbalizi, Mbeya

#LIVE TUNDU LISSU ATUA MBALIZI KAMPENI ZA URAIS CHADEMA

Mgombea ubunge wa CHADEMA Joseph Masote jimbo la Mbeya vijijini hakuna hospitali operesheni ya kupasuliwa ni 200,000. Jenerali mstaafu Robert Mboma ni mkazi wa Mbeya vijijini na hakuna barabara. Kiwanda cha Mbeya Cement. Pembejeo bei zipo juu mfano mbolea Mbeya vijijini ni Tshs. 80,000 wakati Malawi na Zambia ni Tshs. 15,000 tu
 
Kama ukweli ndio matusi,basi tunamuagiza Lissu aendelee tu na "matusi yake ya nguoni". Ni siku nyingine ya kusikia matusi

CCM, NECCM na MAGUFULI wameshindwa kujibu HOJA za Mhe. Tundu Antipas Lissu badala yake wanalazimisha na kutaka kutengeneza mazingira ya " MATUSI" kwa UKWELI wanaopewa.....!!
Shame on NECCM, CCM and your godfather Jiwe!!!
 
Hivi!! Kwa kawaida mtu humchukua siku ngapi kujua kwamba, kitu anachokitafuta hakitawezekana kukipata ili pengine aachane nacho na aanze kujishughurisha na mambo mengine?

MMbona anapoteza muda huyu Kijana na mjuvi wa Sheria za Tz?

Hiyo ni Katiba gani?
Acha uzezeta wako bwashe. Mhe. Tundu Lissu ni mgombea halali wa Kiti cha Urais Tanzania na ana SIFA ZOTE na pengine kumxidi hata Jiwe.....!!!
Sanduku la Kura ndilo litaamua hapo tarehe 28 Okt, 2020.
 
Hivi!! Kwa kawaida mtu humchukua siku ngapi kujua kwamba, kitu anachokitafuta hakitawezekana kukipata ili pengine aachane nacho na aanze kujishughurisha na mambo mengine?

MMbona anapoteza muda huyu Kijana na mjuvi wa Sheria za Tz?
Swali la nyongeza, inatumia muda gani mtu kutambua kwamba ameshikwa pabaya na TAL ndo mpango mzimaaaa???????!
 
Kama yule chiz
Kama yule mpora KOROSHO za wanyonge anavyozurura kwai kanda ya ziwa???
 
Hizo ndo sera za chadema??!
 
expand...Kama yule mpora KOROSHO za wanyonge anavyozurura kwai kanda ya ziwa???

Mdini mkabila na anaendelea ndugu zake..... Hatumtaki kabisa
 
CCM, NECCM na MAGUFULI wameshindwa kujibu HOJA za Mhe. Tundu Antipas Lissu badala yake wanalazimisha na kutaka kutengeneza mazingira ya " MATUSI" kwa UKWELI wanaopewa.....!!
Shame on NECCM, CCM and your godfather Jiwe!!!
Hizo ndo sera za chadema?
 
Ujinga huu sehemu zote zilizo andikwa CCM ingekuwa CHADEMA ungekuta ban ila kwakuwa MODs huwa wapo upande mmoja ndio maana imeachwa mpaka sasa.
 
MARUFUKU YA SHERIA YA UCHAGUZI:
1. Kutoa ahadi katikati ya kampeni kwa kutumia kofia ya madaraka au cheo chako ilihali wewe ni mgombea.
2.Kukataza watu wasichague wagombea wa kabila lingine, na wawabaguwe na kukuchagua wewe wa kabila lao.
3.Kutisha watu wasichague viongozi wa kutoka upinzani ukiwaambia kuwa hutapeleka maendeleo.
4.Kuamuru shule zifungwe na wanafunzi wote waswagwe kupelekwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za kisiasa.
5.Kuahidi watu na wapiga kura wako vyeo vya kiserikali ilihali bado uchaguzi haujafanyika na wala mshindi hajatangazwa.

Laiti tungelikuwa na mahakama ya kikatiba kama wenzetu wa kenya au Ghana, moja tu ya hoja hizi ilitosha kufungia kampeni za mgombea husika na hata kama angeshinda, bado hoja hizi zingebatilisha ushindi asubuhi na mapema! Hakika tunahtaji mno katiba mpya kuliko hata maelezo unayoweza kuyatoa!
 
Hizo ndo sera za chadema?

Acha kuuliza maswali ya kitoto!
Kama unataka kusikia Sera za CHADEMA msikilize vzr Mhe. Tundu Lissu. Kuhoji ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chattle na Mbuga ya Wanyama Burigi siyo Sera bali ni kukosoa Utawala wa Jiwe!
Sera ya CHADEMA imejikita kwenye UHURU, HAKI & MAENDELEO....Upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…