Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Kuhoji ujenzi wa uwanja wa ndege na mbuga ndio sera ya chadema?
 
Hizo ndo sera za chadema??!
 

Well said brother.
NEC ya CCM wanajifanya vipofu, viziwi na viwete katikati ya UKIUKWAJI HUU MKUBWA WA SHERIA YA UCHAGUZI unaofanywa na Rais Magufuli!!
Haiwezekani Mgombea anasema Kuna hela Bilioni kadhaa zimetengwa kwa ajili ya Barabara, Zahanati au Shule......!!Hayo alitakiwa awe ameyafanya ndani ya 5 years na si Vinginevo. Anachotakiwa sasa ni kutoa ahadi atafanya nini na siyo kudai hela ipo....Bunge lilishavunjwa kujiandaa na Uchaguzi. Full stop.
 
Kama ukweli ndio matusi,basi tunamuagiza Lissu aendelee tu na "matusi yake ya nguoni". Ni siku nyingine ya kusikia matusi
Wenye akili timamu tumekuelewa sana.

Tundu Lissu aongeze dose ya matusi hadi macho ya kabudy yadondoke chini kabisa kwa mshangao.
 
M

mlishawahi kuitisha tenda huo uwanja?
Comrade unajua kuna aina ngapi za tenda katika miradi ya ujenzi??? Nikusaidie kidogo
1. Open tender
2. Limited tender
3. Selected tender
4. Negotiation tender
5. Pre-qualification tender.

Lissu anawalisha matango pori anajua wafuasi wake sio wafuatiliaji wa mambo.
 
K
kabla sijakujibu nikuswalike swali... hii tenda UWANJA WA CHATO ilitangazwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…