Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

 
K

kabla sijakujibu nikuswalike swali... hii tenda UWANJA WA CHATO ilitangazwa ?
Comrade sio kila tenda inatangazwa ndio maana nimekuonesha aina mbali mbali za tenda zinazotumika kwenye shughuli za ujenzi.
 
Kuwaita watu toto jinga ndio sera ya chadema? Ipo kwenye ilani yenu?
CHADEMA haitaacha kuhoji upuuzi unaofanywa na NEC CCM na madudu ya Serikali yenu ya Jiwe. Narudia tena hoja siyo Sera.
Sikiliza na hii:

CCM na Magufuli safari hii jasho linawatoka.!!Tundu Lissu siyo mtu wa mchezo mchezo na pengine ndo maana mlitaka kumwangamiza ili asiwasumbue kama anavowapa taabu sahivi.....!!!
 
Huyu jamaa wamyendee haki tu.

Hapa namaanisha hata kama ni kuiba,aibiwe kihaki haki.

Hatutaki shida sie wananchi. Hii ndiyo ardhi yetu ugenini hatukutaki.
 
Kama una akili timamu na unawatakia mema vizazi vyako huwezi kuwapigia kura wakoloni weusi wanyonyaji wa CCM .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…