Unaijua thamani weweeeSisi tuliomchagua ndiyo tunajua thamani yake, wewe na hizo internation organisation zako endelea na yenu.
Huyo Lisu hata afanye makongamano mara milioni hatakuja kuwa Rais wa Tanzania
Lissu ana dola? Lissu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ni raia aliyevuliwa ubunge na huyo unayemsifia ambaye alitaka kukatisha maisha yake kwa sababu ya uelewa mdogo wa mambo ya uongozi na siasa kwa ujumla, usitake kutufanya sisi sote wajinga kama wewe na familia yako na chama chako.Lissu hana issue amemuogopa Magufuli kwa kiwango cha juu zaidi, hafai kwa mapambano bado sana, anafanya siasa nje nchi kwa niaba ya Tz lakini Nchini kwenyewe anashindwa kukanyaga.,
Acha unafiki mkuu, sasa hivi unajifanya kumtetea wakati alipowaambia tuingie mtaani kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi ulijificha chini ya uvungu...Tundu Lissu anaifungua dunia kuhusu mambo yanayoendelea nchini ambayo kwa mwenye macho ya mbali lazima aone consequences zikija mbeleni.
Serikali kupambana na Tundu kwa vyovyote ni lazima ipate failures sababu hoja zake ni za msingi na ushahidi wa kuaminika upo hvyo cha msingi ni kukaa nae chini na kujadiliana nae jinsi ya kusonga mbele kama taifa,tofauti na hapo itegemee anguko kubwa mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Mabomu na vilivyokuwa vimeandaliwa na mfalme wa jua uliviona au ulikuwa porini?? Tatizo ni moja tu ambalo ni ujinga kwenu vijana wa aina hii.Acha unafiki mkuu,sasa hivi unajifanya kumtetea wakati alipowaambis tuingie mtaani kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi ulijificha chini ya uvungu...
Angalia tu trend ya huu uzi kuanzia viewers ni wachache kuonyesha wazi kuwa Lissu is no longer a material thingLissu hana issue amemuogopa Magufuli kwa kiwango cha juu zaidi, hafai kwa mapambano bado sana, anafanya siasa nje nchi kwa niaba ya Tz lakini Nchini kwenyewe anashindwa kukanyaga.,
Fly up; high and above TL. Advocate freedom, justice, and peace. Tell the international community on what happened on the so called free and fair Nov. 28th Tanzanian General Election. God be with you.Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union:
We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an unfree, unjust and unrightful voting process.
Akili yako ndio inakwambia kuingia barabarani ndiyo njia pekee ya kupinga matokeo? Second, nimeshaongelea habari ya kusupport Lissu au kuingia barabarani? Jenga hoja na siyo kuongelea habari za hisia and stand as a real man. Think big and loud.Acha unafiki mkuu,sasa hivi unajifanya kumtetea wakati alipowaambia tuingie mtaani kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi ulijificha chini ya uvungu...
Bhana we? Roho zinawaenda mbio sana. Wana mboga X 2 wanawiva kwa wivu na hasira. Subiri watavyo poromosha dharau na matusi yao humu mtandaoni.CCM viongozi wao watashiriki lini au wao ni TBC na ITV tu?
Hawa jamaa akili zao muda wote zinashinda gereji 😁 😁Kwahiyo kuua watu na kuwatesa ndio mfumo mzuri
Bobi Wine, Maalim seif wote hao kwani wana dola??? Wapo pamoja na wananchi wao wanapambanaLissu ana dola???? Lisu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ni raia aliyevuliwa ubunge na huyo unayemsifia ambaye alitaka kukatisha maisha yake kwa sababu ya uelewa mdogo wa mambo ya uongozi na siasa kwa ujumla,usitake kutufanya sisi sote wajinga kama wewe na familia yako na chama chako.
The reason is: They dislike and hate constructive challenges and criticism. They are always comfortable with cowards and "Yes men".Yaani CCM, MAGUFULI, Jane Lowassa, Pascal Mayalla and the team wakisikia jina Tundu Lissu, siku yao inaharibika kabisa, hivi aliwakoseeni nini hadi mkataka kumuua?
Nmekuuliza wewe unaeshangilia, Je Lissu ata gain kitu gani?Atalose nini?
Hicho ndio Lissu atapata?kumbe una akili ndogo kiasi hicho !
Lissu upambane nae ili iweje wakati tayari ni loser na sasa hivi anashughulikiwa na duniaHao wote uliowataja hawana uwezo kabisa kiakili kupambana na Lissu.
Bob Wine Spika wa Bunge la Uganda alimlinda na mpaka sasa anamtambua pamoja na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mtetezi wake je ndugai na mahera walifanya hayo kwa Tundu Lissu?Bobi Wine, Maalim seif wote hao kwani wana dola??? wapo pamoja na wananchi wao wanapambana
Same to you no longer material thing, Lissu is a genius and wise person may god bless him.angalia tu trend ya huu uzi kuanzia viewers ni wachache kuonyesha wazi kuwa Lisu is no longer a material thing
Ndio maana kakimbia nchi?? Sasa lini atarudi mana Ndugai na Mahera ndio kwanza wapo na wapo sana au unakusudia ataongoza Tz kama Rais lakini akiwa BelgiumBob Wine Spika wa Bunge la Uganda alimlinda na mpaka sasa anamtambua pamoja na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mtetezi wake je ndugai na mahera walifanya hayo kwa Tundu Lissu?
CCM sio chama cha kidemokrasiaCCM viongozi wao watashiriki lini au wao ni TBC na ITV tu?